Kadi Poa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,015
- 1,005
Mbowe ni mtu mbaya sanaItaje nchi hiyo. Yaan mnataarifa kama hizo kisha serikali iangalie tu ikipakwa matope? Au kumfumbia macho mtu ambaye anahatarisha maisha ya wenzake kama mbowe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe ni mtu mbaya sanaItaje nchi hiyo. Yaan mnataarifa kama hizo kisha serikali iangalie tu ikipakwa matope? Au kumfumbia macho mtu ambaye anahatarisha maisha ya wenzake kama mbowe?
Ngoja aje...Itaje nchi hiyo.
Mbona bado hajaja mpaka sasa wewe Soldier fake?Ngoja aje...
Ile we jamaa punguza ushamba kidogo.Mbona bado hajaja mpaka sasa wewe Soldier fake?
Ushamba gani tena mkuu?Ile we jamaa punguza ushamba kidogo.
Kwanini unaipenda sana CCM alafu haukutangaza nia wala kuchukua form?Ushamba gani tena mkuu?
98% ya Watanzania wanamkubali sana Rais Magufuli.Mhh...
Trump ameanza kumuiga Magufuli katika ku-deal na changamoto ya COVID-19. JPM ni jembe hakika.Mhh...
Huyo ndiye Magufuli, anamwaga mapesa Wananchi tupate huduma bora.Mhh...
Magufuli anajenga stiglers gorge ambayo ilimshinda mkoloni.Mhh...
Mabeberu yameanza kumpigia JPM magoti. Tuliwaonya Magufuli hajaribiwi.Beautiful Nkosazana pamoja na Girl Next-door njooni huku
watakoma mwaka huu...Mabeberu yameanza kumpigia JPM magoti.
Ndio hajaribiwiTuliwaonya Magufuli hajaribiwi.
Very trueMagufuli anajenga stiglers gorge ambayo ilimshinda mkoloni.
CCM yapokea kwa mshtuko taarifa ya ajali mbaya ya Wasanii Belle 9 na Bonge la Nyau, yawatakia uponyaji wa haraka!Kwanini unaipenda sana CCM alafu haukutangaza nia wala kuchukua form?
Chadema ingechaguliwa 2015 haya maendeleo ya ujenzi wa miundombinu ikiwemo SGR, Bwawa la umeme Fly overs, ununuzi wa ndege nk...nk ingekuwa bado ni ndoto kwa watanzania.Very true
Lissu anajifanya hajui unafiki wa CHADEMA, aibu atakayopata anaweza akakimbia Nchi.Very true
Chadema walilamikia ufisadi ila Magufuli ameondoa ufisadi na matokeo yake majizi na mafisadi yamekimbilia kujificha Chadema.Beautiful Nkosazana pamoja na Girl Next-door njooni huku
Chadema walilamikia ufisadi ila Magufuli ameondoa ufisadi na matokeo yake majizi na mafisadi yamekimbilia kujificha Chadema.Kwanini unaipenda sana CCM alafu haukutangaza nia wala kuchukua form?
Rais Magufuli kaza hapo hapo usigeuke nyuma, Watanzania wengi hawajui wanataka nini.Beautiful Nkosazana pamoja na Girl Next-door njooni huku