Wabunge wa Tanzania wajue sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa

Nitaamrisha watoto wangu kila moja aite mtoto wake moja jina Magufuli Hili jina limejaa uzalendo.
 
Nitaamrisha watoto wangu kila moja aite mtoto wake moja jina Magufuli Hili jina limejaa uzalendo.
 
Tundu Lissu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani?
 
Magufuli tunataka maendeleo zaidi Rais wetu kipenzi.
 
Hii Nchi inahitaji mtu jasiri kama Rais Magufuli.
 
Rais Magufuli anafaa aongezewe muda anafanya mambo makubwa sana.
 
kwamfano wanasiasa waliopigwa risasi/kupotezwa walikua na madhara gani kwa taifampaka watekwe au kushambuliwa?
mtu kusema tutashitakiwa kufuatia uvunjifu wa mikataba hovyo na mwingine kusema ana 'phd feki' ni makosa yanayo hatarisha amani ya taifa?
Wewe wa wapi wewe!hiyo inasababisha disloyal na watu wengi wakiwa disloyal kwa Serikali kinachofuata ni uasi.We mtu kachaguliwa na watu mil 60 Leo umwamhie anachet fake hata ni wewe ungeuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…