Kwa TL kupigwa inaweza kuwa ni kwa maslahi ya Mboe!Kwahiyo kumpiga Lissu risasi ni kwa manufaa ya taifa? Kumuua Akwilina ni kwa manufaa ya taifa?
Wewe endelea kutafsiri stori za google, haya mengine yanakuzidi uwezo.
Okay, nimekuelewa🙏!Soma tena huko juu kabisa - May 5, 2018
One love bro.Kwa TL kupigwa inaweza kuwa ni kwa maslahi ya Mboe!
Okay, nimekuelewa🙏!
Mkuu!!!mhhh
Mlioolewa?Kwendraaaaaaaaaaaa huko kawahadithie wajinga wenzio huo upumbavu wako. co cc tunaojielewa
Niambie mkuu wanguMkuu!!!
M2 hata kusoma kipengele, nan aelewe Pumba zakoMlioolewa?
Pumba zipo huko kwenu UKAWAM2 hata kusoma kipengele, nan aelewe Pumba zako
Kuna nani anayejielewa huko ufipa?Kwendraaaaaaaaaaaa huko kawahadithie wajinga wenzio huo upumbavu wako. co cc tunaojielewa
mhhhNgoja tusubiri Fobes watuambie
Msanii wa hip hop Nikki Mbishi ni ndugu yako?Ngoja tusubiri Fobes watuambie
Duuuh basi sawaHapana mkuu. Ila Alikopy na kupaste Jina Langu
Chadema wamebaki na nguvu Twitter Chadema w.a.mek.u.wa kama Kiba wanaomchukia DiamondKuna nani anayejielewa huko ufipa?
Ninaishi USA. Nasikia CCM ilichukua majimbo yote katika uchaguzi wa mwaka jana 2020. Ni kweli?Kuna nani anayejielewa huko ufipa?
2025 tutawashawishi wananchi wampe Samia ushindi wa 90% Ushindi huu ni wa asante kwa kazi kubwa aliyoifanya.Chadema wamebaki na nguvu Twitter Chadema w.a.mek.u.wa kama Kiba wanaomchukia Diamond
Anachokifanya Tundu Lissu kwa sasa ni kutafuta umaarufu kwa ajili ya 2025. samia mama lao.2025 tutawashawishi wananchi wampe Samia ushindi wa 90% Ushindi huu ni wa asante kwa kazi kubwa aliyoifanya.
Kwa utendaji wa RAIS Samia Sisi kama watanzania tulipaswa kumuacha achape kazi, watanzania ,Afrika ,Dunia inajua Rais Samia atashinda mafisadi.2025 tutawashawishi wananchi wampe Samia ushindi wa 90% Ushindi huu ni wa asante kwa kazi kubwa aliyoifanya.
Rais Samia amefanya mambo makubwa mazuri kwa muda mfupi wa utawala wake.Kwa utendaji wa RAIS Samia Sisi kama watanzania tulipaswa kumuacha achape kazi, watanzania ,Afrika ,Dunia inajua Rais Samia atashinda mafisadi.