Sembinga
JF-Expert Member
- Jul 10, 2014
- 393
- 344
Wale Mabeberu ambayo Lissu aliyokuwa anayetetea bungeni umesahau? Kama sio Rais Samia na JPM madini yetu yasingekuwepo.Lissu alikuwa anawatetea Mabeberu bungeni waendelee kuchimba madini yetu huku Rais Samia na JPM wakitutetea sisi wanyonge.