Wabunge leo walifikisha saini 140 kati ya 125 ambazo zilitakiwa ili swala la kuuwawa kwa mbunge mwenzao liweze kujadiliwa na bunge maana wamekuwa na wasiwasi na matamshi ya police pamoja na ya Rais Mseveni kuhusu kifo hicho kwa kuwa Cerinah Nebanda ni machachari kwa kuikosoa serikali bungeni sasa wengine wanaogopa kuuawa kama yeye
Jamani tutafika lini kuacha kuuwa watu wasio na hatia kwa sababu ya siasa tu?? imagine mbunge huyu ni mdogo lakini kuikosoa serikali tu kifo tayari
Aliuawa nyumbani kwake 14/12/2012 na police wanasema alikufa kwa sababu ya kutumia madawa ya kulevya na pombe nyingi na ni mdogo mno maana ana miaka 24 tu
source:Nebanda