Wabunge wa Ukanda wa Pwani watishia kuanzisha harakati za kujitenga endapo uchaguzi utafanyika 26 Oktoba

Wabunge wa Ukanda wa Pwani watishia kuanzisha harakati za kujitenga endapo uchaguzi utafanyika 26 Oktoba

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Wabunge 6 wa upinzani kutoka Pwani na Gavana wa Kilifi Amason Kingi na wamesema watashinikiza mkoa huo kujitenga endapo Tume ya Uchaguzi itaendelea kusisistiza kufanyika kwa uchaguziwa marudio tarehe 26 Oktoba bila marekebisho

Wamesema kujitenga kutawawezesha mkoa huo ambao ulikuwa chini ya utawala wa Sultan wa Zanzibar kujitawala wenyewe kwa ajili ya manufaa ya wakazi wake waliotengwa tangia uhuru wa Kenya

Akizungumza katika mkutano maeneo ya Rabai na Kaloleni, Gavana Kingi alisema Sultan wa Zanzibar aliipa Kenya mkoa huo wakati wa uhuru

Ameongezea pia Muungano wa Upinzani (NASA) unashinikiza kufanyika kwa uchaguzi ulio huru na wa haki

Mbunge wa Kilifi Kaskazini Owen Baya amesema watalazimisha kujitenga endapo chama cha Jubilee kitaendelea kushinikiza kufanyika kwa uchaguzi wa marudio na kuweka Rais ambaye ni kinyume na matakwa ya raia

''Katiba yetu inaruhusu kujitenga na tutapeleka muswada utaoawezesha sisi kunjitawala wenyewe ili kukomesha uminywaji wa haki ambao umedumu tangia uhuru''

=================================================
Kilifi Governor Amason Kingi and six Coast Opposition legislators have said they will push for secession of the Coast region if the electoral agency insists on holding the October 26 election without reforms.

They said secession will enable the region, which was formally under the rule of the Sultan of Zanzibar, to govern itself for the good of Coast residents who have remained marginalised since Independence.

REFORMS

Speaking during rallies at Rabai and Kaloleni, Mr Kingi said the Sultan of Zanzibar gave the region to Kenya during Independence.

He added that the electoral reforms the National Super Alliance (Nasa) is pushing for are crucial for a free and fair election.

“Our aim is to push for reforms at the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) after the Supreme Court nullified President Uhuru Kenyatta’s August 8 re-election on the basis of irregularities and illegalities,” Governor Kingi said.
The team, comprising ODM party legislators, also pledged to hold rallies for eight days consecutively to inform residents on the importance of reforming the IEBC ahead of the repeat poll.

“We ‘Nasa’ supporters are ready to go for election anytime but we cannot allow the election to be presided over by an electoral agency that has already taken sides,” said the governor.

DEMOCRACY

He, however, told residents that they have a right to exercise their democratic right on October 26 adding that “you have a choice to do what is right by avoiding being a project of a sham election.”

Kilifi North MP Owen Baya said they will push for secession if the Jubilee Party proceeds to push for October 26 repeat election to impose a President against the democratic will of the people.

“Our Constitution allows secession and we will push for the bill to enable us govern ourselves to end the numerous historical injustices that had persisted since Independence,” he said.

Ganze MP Teddy Mwambire said there will be no election in his constituency without first reforming the IEBC, adding that “one of the commissioners has already said that the repeat poll will not be free and fair.”

They spoke in reference to Commissioner Roselyn Akombe who resigned from the IEBC on Wednesday.

PEOPLE’S WILL

In the statement, Dr Akombe said the October 26 repeat election as planned cannot meet the basic expectations of credibility and fairness.

Michael Kingi said Commissioner Akombe’s statement was self-explanatory that the IEBC is not ready for the repeat election and any attempt to force an election will be against the will of the people.

Also present during the rally were Kaloleni MP Paul Katana, Rabai MP William Kamoti and Kilifi South MP Ken Chonga.

Nasa Presidential flagbearer Raila Odinga and Kalonzo Musyoka have withdrawn from the October 26 race. Nasa has instead called for protests on Election Day.

Source: Daily Nation
 
Kenya ni dhaifu sana ingekua ni Tanzania mbunge anasema hivyo ni kama ametangaza vita na taifa na angepotea pasipo julikana zamani.

Lakini Kenya naona mpaka Mombasa wameshaandaa bendera yao maana yake time yoyote wanaweza kutakeoff

Ukisema hivyo Tanzania watakaokushugulikia wala sio police bali utashughulikiwa na JWTZ hao ndio wanaohusika na mipaka ya nchi
 
waulize waliowahi jaribu kujitangaza huru waliona nini badae
 
sababu ni dikteta weu uchwara

Nyie mpaka watu wanajitangazia Uhuru kabisa? Tanzania wakati anafikiria as a sole person tayari hayupo duniani achilia mbali mobilization and plotting of such operations in public.
 
Hata waluo wana hiyo hoja dhidi ya wakikuyu. Hawa jamaa tatizo si uchaguzi ni UKABILA.
 
6 Members of Parliament and a non performing Governor of a very poor county calling for secession is a joke.

Can they even account for the billions allocated to their county and constituencies for the the past 5years?

Madarasa huko Kilifi ni za matope na bado zimemshinda Kingi kujenga. They are like warthogs forgetting too quickly how MRC was silenced completely.
Lastly, they should know tat the tingod raila odinga will not ascend the presidency na pia wanainchi sio wapumbavu kama hapo awali for they will be met with brute force. Hapana taka macheso....
 
Kufikia hapo nishakata tamaa na hili liinchi, ligawanywe tu kila mtu aishie na kipande chake, yaani tukiendelea kwamba kila ukishindwa uchaguzi unatishia kugawa nchi, bora tuifanye mapema. Kwa kweli uongozi wa nchi ni uvumilivu maana mimi sidhani kama ningekua rais ningevumilia kiasi hiki, yaani ningetawala nchi kwa kutumia watu wasiojulikana, ukizingua tu....basi.

Tatizo Kenya hata sio ukabila, tulishaamua kugawanywa na kupelekeshwa pelekeshwa na wanasiasa, unakuta kiongozi akishindwa kutenda kwenye jimbo au gatuzi lake anatafuta pakutokea kwa kulaumu na kuwahadaa watu wake kwamba wanadhulumiwa.
Maana nimewahi kuishi maisha ya kitaa, kule ambapo unanunua unga kwa Mkikuyu, mboga na nyanya kwa Mluhya, samaki kwa Mjaluo n.k. Watu wanaishi bila muda wa kuonana kwa misingi ya kikabila, lakini siku wanasiasa wakigombana tu, hapo kila mtu anavaa koti la kabila lake.

Leo hii mnaambiwa mgawe nchi, hivyo kama Mluhya unaishi Nairobi ufungashe virago na kwenda kwenye nchi mpya utakayoambiwa ya kwenu, Mjaluo vivyo hivyo, Mkikuyu aliye Nyanza hali kadhalika.... Yaani ipo siku tutamani kurudia hali ya kawaida iliyokuwepo lakini tutakua tumechelewa, sasa kila mtu anawaka kwa mzuka.
 
Pwani waje kujiunga na Muungano wetu unaotambua kila nchi ndani yake mfano nchi ya Zanzibar ina kila symbol ya nchi yupo Rais, Makamu wawili wa Rais, Spika, Jaji Mkuu, Baraza la wawakilishi, Mawaziri, jeshi la valantia, KMKM, idara maalum, bendera ya nchi, Baraza la Mapinduzi n.k
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Kufikia hapo nishakata tamaa na hili liinchi, ligawanywe tu kila mtu aishie na kipande chake, yaani tukiendelea kwamba kila ukishindwa uchaguzi unatishia kugawa nchi, bora tuifanye mapema. Kwa kweli uongozi wa nchi ni uvumilivu maana mimi sidhani kama ningekua rais ningevumilia kiasi hiki, yaani ningetawala nchi kwa kutumia watu wasiojulikana, ukizingua tu....basi.

Tatizo Kenya hata sio ukabila, tulishaamua kugawanywa na kupelekeshwa pelekeshwa na wanasiasa, unakuta kiongozi akishindwa kutenda kwenye jimbo au gatuzi lake anatafuta pakutokea kwa kulaumu na kuwahadaa watu wake kwamba wanadhulumiwa.
Maana nimewahi kuishi maisha ya kitaa, kule ambapo unanunua unga kwa Mkikuyu, mboga na nyanya kwa Mluhya, samaki kwa Mjaluo n.k. Watu wanaishi bila muda wa kuonana kwa misingi ya kikabila, lakini siku wanasiasa wakigombana tu, hapo kila mtu anavaa koti la kabila lake.

Leo hii mnaambiwa mgawe nchi, hivyo kama Mluhya unaishi Nairobi ufungashe virago na kwenda kwenye nchi mpya utakayoambiwa ya kwenu, Mjaluo vivyo hivyo, Mkikuyu aliye Nyanza hali kadhalika.... Yaani ipo siku tutamani kurudia hali ya kawaida iliyokuwepo lakini tutakua tumechelewa, sasa kila mtu anawaka kwa mzuka.

Sio mwisho wa matatizo au shida za wakenya
pia Sioni kama hilo linaweza tokea kwa wabunge 6 Pekee bungeni
 
Sultan hakuwa anatawala Pwani ya Kenya mainland, ni kisiwa cha Mombasa na kilomita kumi kutoka ufwukweni. Waanzishe nchi yao huko huko baharini waondoke Kenya na wasirudi tena.
 
Kufikia hapo nishakata tamaa na hili liinchi, ligawanywe tu kila mtu aishie na kipande chake, yaani tukiendelea kwamba kila ukishindwa uchaguzi unatishia kugawa nchi, bora tuifanye mapema. Kwa kweli uongozi wa nchi ni uvumilivu maana mimi sidhani kama ningekua rais ningevumilia kiasi hiki, yaani ningetawala nchi kwa kutumia watu wasiojulikana, ukizingua tu....basi.

Tatizo Kenya hata sio ukabila, tulishaamua kugawanywa na kupelekeshwa pelekeshwa na wanasiasa, unakuta kiongozi akishindwa kutenda kwenye jimbo au gatuzi lake anatafuta pakutokea kwa kulaumu na kuwahadaa watu wake kwamba wanadhulumiwa.
Maana nimewahi kuishi maisha ya kitaa, kule ambapo unanunua unga kwa Mkikuyu, mboga na nyanya kwa Mluhya, samaki kwa Mjaluo n.k. Watu wanaishi bila muda wa kuonana kwa misingi ya kikabila, lakini siku wanasiasa wakigombana tu, hapo kila mtu anavaa koti la kabila lake.

Leo hii mnaambiwa mgawe nchi, hivyo kama Mluhya unaishi Nairobi ufungashe virago na kwenda kwenye nchi mpya utakayoambiwa ya kwenu, Mjaluo vivyo hivyo, Mkikuyu aliye Nyanza hali kadhalika.... Yaani ipo siku tutamani kurudia hali ya kawaida iliyokuwepo lakini tutakua tumechelewa, sasa kila mtu anawaka kwa mzuka.
Sisi tulio na wake wa kabila tofauti na la kutoka nchi ingine tuna changamoto sio haba na hayo matamshi za chuki za baadhi ya "viongozi". Kila siku hapa kwangu linapita ni kama karne. Lakini lile umoja nimeunda ndani ya boma ni kila kitu. Wakileta ujinga yao kwangu, uwe nani, aisee, watayaona! Amani na umoja wa taifa huanzia kwako nyumbani. Ukieneza chuki na ukabila kwako, itaonekana kwa watoto wako, na matamshi yako. Amen.
 
Back
Top Bottom