Wabunge wa UKAWA kususia Bunge la Katiba kulitokana na Ukosefu wa Elimu, ndio sababu sasa wataingia 'darasani' miaka mitatu

Kwa Kawaida Mtu aliyeelimika na anayejua Katiba ni nini hawezi kususia Mjadala wa Kibunge wa kutengeneza Katiba.

Mtu aliyeelimika ataelewa wazi Ukishapokea posho unaposusia Vikao ni lazima uwarejeshee Walipa kodi Fedha zao vinginevyo wewe ni mwizi unayepaswa kushtakiwa.

Mtu aliyeelimika ataelewa wazi kabisa kwamba Katiba ni maisha hivyo ataipigania kwa Jasho na Damu badala ya Kususa au Kuzira na kumpa Faida adui "Ukisusa siye twala"

Wananchi waelimishwe kwa hiyo miaka 3 ila Wabunge kama akina Babu Tale wakae darasani miaka 7 dadeki 😂

Mungu wa mbinguni awabariki!
Weka hapa vyeti vya wale wahitimu ambao walibaki bungeni anza na cha Makonda
 
Kwa Kawaida Mtu aliyeelimika na anayejua Katiba ni nini hawezi kususia Mjadala wa Kibunge wa kutengeneza Katiba.

Mtu aliyeelimika ataelewa wazi Ukishapokea posho unaposusia Vikao ni lazima uwarejeshee Walipa kodi Fedha zao vinginevyo wewe ni mwizi unayepaswa kushtakiwa.

Mtu aliyeelimika ataelewa wazi kabisa kwamba Katiba ni maisha hivyo ataipigania kwa Jasho na Damu badala ya Kususa au Kuzira na kumpa Faida adui "Ukisusa siye twala"

Wananchi waelimishwe kwa hiyo miaka 3 ila Wabunge kama akina Babu Tale wakae darasani miaka 7 dadeki 😂

Mungu wa mbinguni awabariki!
Unaweza kutuwekea facts hapa ni sababu gan ilifanya wasusie bunge la katiba? Ili wanajamv wengine waelewe kupitia sabab hiyo kama walikua sahihi kutoka au ni tabia zao za kususa!! Majibu tafadhali....
 
Back
Top Bottom