Elections 2010 Wabunge wa upinzani wamuunge mkono mama anne kilango, kinana tume umia watanzania!

Elections 2010 Wabunge wa upinzani wamuunge mkono mama anne kilango, kinana tume umia watanzania!

Hata kama kwani hujui kansa iliyopo ccm? ufa uliopo hauwezi kuzibika kamwe hata wafanye nini, labda mafisadi wajiondoe huko. Kumbuka kuwa kuna wazalendo wa kweli na hilo genge lingine linaloongozwa na mwenyeki wao.
We pia hujanielewa aliyetuma post anataka vyama vya upinzani vimsapoti Kilango mie nilichosema nikwamba ivyo vyama haviwez coz haviingii kwenye kumteua huyo atakayegombea uspika ktk Bunge la Jamuhuri so wakutuletea Mtu safi kama atatokea na wa upinzani wa kucompete nae ni hao ccm wenyewe.
 
Hata kama kwani hujui kansa iliyopo ccm? ufa uliopo hauwezi kuzibika kamwe hata wafanye nini, labda mafisadi wajiondoe huko. Kumbuka kuwa kuna wazalendo wa kweli na hilo genge lingine linaloongozwa na mwenyeki wao.

Mbona mnajadili mambo ya chama yasiyowahusu? huu ni muda wa kujadili kwa nini CHADEMA mmeshindwa kwa kishindo jamani!
 
mi nimeshawaambie tulieni tu mwone watu walio chukua fomu watakavyo chakachuliwa,
hichi ndo chama cha kupindua, Bwana!

kuhusiana na kesi ya mzee wa vijisent mi sijui kesi ilikoishia labda EXECUTIVE tusaidie bwana kesi ilishia wapi!!
 
hapo hali ni ngumu sana!
1.Sitta hawezi rudishwa kwa hofu ya perfomance yake ya last time, actually ccm wanajuta kumweka pale, maaana through yeye tumejuzwa meengi sana.
2.Kilango pia hawawezi kumkubali, maana kumweka huyu ni sawa na kumweka Mzee waTingatinga!,..ambaye wamemweka kushoto mwa siasa za Bongo...Lakini pia mama huyu kuna shaka sana na uwezo wake kupambana na hoja kali za kisiasa, na kujibu kwa busara maswali magumu ya kiuamuzi.
3.Wamweke vIJISENTI ILI TUUE SOO KIRAHISI 2015...

Nafagilia pia.....ulisherehekea wapi ushindi wa Lema Muzee...nilikutafuta kila kona!
 
Mwanasheria mkuu wa zamani Andrew Chenge yeye mnamweka kundi gani?

Kwa utamaduni na mtindo wa CCM Chenge ataweza kupenyezwa kuwa Spika, kama walivyopenyezwa wabunge kadhaa bila ridhaa ya wananchi. Kwa mwendo uliopo na bado uchache wa wabunge pinzani, hatutaweza kuzuia hilo. Itakuwa na maana mafisadi wana mtu wao wenyewe atayezima mijadala inayotishia maslahi yao. Wakati tunamuomba Mungu atunusuru na hilo, tuanze kufukiria mbinu za kumzuia asiingie kwenye kinyang'anyiro ama kumuengua atapoteuliwa na CCM.
 
mi nimeshawaambie tulieni tu mwone watu walio chukua fomu watakavyo chakachuliwa,
hichi ndo chama cha kupindua, Bwana!

kuhusiana na kesi ya mzee wa vijisent mi sijui kesi ilikoishia labda EXECUTIVE tusaidie bwana kesi ilishia wapi!!

Kesi ya mzee wa vijisenti bado inaendelea, si unakumbuka wakati JK alipokwenda Bariadi kumnadi ndo siku ya ku-unguruma mahakamani kesi yake na hakutokei mahakamani ikambidi hakimu sundi fimbo kutoa arrest warrant, baadae kesi ilihairishwa na hakimu kufuta hiyo warrant, so bado inaunguruma
 
Kinana akiwa spika basi magaidi wa kisomali watajaa Tanzania na Tembo wetu wote watamalizika huko mbugani!!

Wana JF msitegemee ccm kuwa watafanya kosa kumchagua mtu design ya akina Sita ktk bunge hili.
 
Tuendelee kuungulumisha maombi yetu waendelee kuchakachuane wenyewe ili 2015 iwe kama kumsukuma mlevi, laini kama unanawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Mafisadi hata kama wangebaki wenyewe bado watachakachuana tu. Mnajua kwamba MASHA na DIARO walichakachuana wenyewe mmoja kamwaga mboga mwingene kamwaga ugali wakose wote!!!!!!!!!!!!!!!!
 
usihofu uliona ngumi na makofi yaliyotokea bunge la kenya..sasa tutarajie mambo kama hayo endapo mambo ya msingi yakipelekwa kichama zaidi kuliko maslahi ya taifa
 
mtu kama Mbowe huwa hataki ujinga yanapokuja maswala yanayo husu mstakabali wa nchi
 
sifa ya kuwa spika ni lazima kwanza uwe mbunge, huyu Kinana anaingia kwa kofia ipi kugombea Uspika....usikurupuke
 
Tupe taarifa kamili Anne Kilango kachukua fomu ya kugombea Uspika?
 
ina maana Sitta hachukui tena?
na mama Anna je?
 
Jamani mnamzungumzia Kinana mbona mimi sijasikia kuwa kachukua form kugombea, nimesikia Chenge, Sitta, Makinda , Ndugai na Kilango.
Pili, uchaguzi huu ni kwanza CCM ndani ya chama wanachagua nani wa kugombea hiyo post, then wanakubaliana kabisa kuwa wakifika bungeni huyo awe spika, na ukitilia maanani wao ni wengi bungeni basi atakeyeletwa ndio atakuwa spika, sasa wabunge wa upinzani watabadirisha nini? manake hao hukaa kama kamati ya Chama kwa issue zote ambazo ni za kuwasaidia Watanzania, hivyo hutoka na uamuzi wa kulazimisha wa kifisadi.
 
Vyama vyote vyenye wabunge vinaweza kusimamisha mgombea wa Uspika si CCM pekee lakini utaratibu unaanzia ndani ya kila chama.

Baada ya bunge kuchukua fomu ya kugombea Uspika katika ngazi ya chama chake.,Uteuzi wa wabunge watakaogombea Uspika unafanywa na vyama vyenye wabunge kupitia sekreteriati ya vyama husika,kisha baada ya mchujo wa awali majina yanapelekwa kamati kuu ya chama husika na kuchujwa hadi majina matatu katika ngazi ya halmashauri kuu ya taifa. Majina matatu yanapelekwa kwenye kamati ya wabunge wa chama husika kwa ajili ya kupata jina moja litakaloshindanishwa na wagombea wa Uspika wa vyama vingine ndani ya bunge.
 
Muungwana atamrejesha dkt cigweyimis in place of comrade kingunge, bado anamuhitaji mjengoni.
 
Back
Top Bottom