We pia hujanielewa aliyetuma post anataka vyama vya upinzani vimsapoti Kilango mie nilichosema nikwamba ivyo vyama haviwez coz haviingii kwenye kumteua huyo atakayegombea uspika ktk Bunge la Jamuhuri so wakutuletea Mtu safi kama atatokea na wa upinzani wa kucompete nae ni hao ccm wenyewe.Hata kama kwani hujui kansa iliyopo ccm? ufa uliopo hauwezi kuzibika kamwe hata wafanye nini, labda mafisadi wajiondoe huko. Kumbuka kuwa kuna wazalendo wa kweli na hilo genge lingine linaloongozwa na mwenyeki wao.
Hata kama kwani hujui kansa iliyopo ccm? ufa uliopo hauwezi kuzibika kamwe hata wafanye nini, labda mafisadi wajiondoe huko. Kumbuka kuwa kuna wazalendo wa kweli na hilo genge lingine linaloongozwa na mwenyeki wao.
Wamchague huyo huyo domo-kaya Kinana ili asaidie kuwatia hasira Watanzania kwa ajili ya 2015
hapo hali ni ngumu sana!
1.Sitta hawezi rudishwa kwa hofu ya perfomance yake ya last time, actually ccm wanajuta kumweka pale, maaana through yeye tumejuzwa meengi sana.
2.Kilango pia hawawezi kumkubali, maana kumweka huyu ni sawa na kumweka Mzee waTingatinga!,..ambaye wamemweka kushoto mwa siasa za Bongo...Lakini pia mama huyu kuna shaka sana na uwezo wake kupambana na hoja kali za kisiasa, na kujibu kwa busara maswali magumu ya kiuamuzi.
3.Wamweke vIJISENTI ILI TUUE SOO KIRAHISI 2015...
Mwanasheria mkuu wa zamani Andrew Chenge yeye mnamweka kundi gani?
mi nimeshawaambie tulieni tu mwone watu walio chukua fomu watakavyo chakachuliwa,
hichi ndo chama cha kupindua, Bwana!
kuhusiana na kesi ya mzee wa vijisent mi sijui kesi ilikoishia labda EXECUTIVE tusaidie bwana kesi ilishia wapi!!
Kinana akiwa spika basi magaidi wa kisomali watajaa Tanzania na Tembo wetu wote watamalizika huko mbugani!!
Wana JF msitegemee ccm kuwa watafanya kosa kumchagua mtu design ya akina Sita ktk bunge hili.
"ukistaaju ya Musa utashanga ya filauni"
nyie tulieni tu muone watakavyo chakachua spika wao
hapo ndo mtajua chama chakupindua ni noma!!