Mkuu, hakuna kitu kama hicho -hizo ni propaganda za Serikali ya Ukraine ikishirikiana na mashirika ya kijasusi ya Merikani na Uingereza hii inatokana na kuona Ukraine imeanza kulemewa vita, hipo karibu kushindwa,ndio maana Zelensky anawatimua kazi watu ambao ni muhimu kwenye vita hii, kuchanganyikiwa kwake ndio kunamfanya hasiwe na imani na watu wake wa karibu Serikalini.
Now, back to the main point - kama nilivyo sema hapo mwanzo, taarifa hizi za kudai kwamba jeshi la Ukraine linatumia Superhuman, siju robot kupigana vita, taarifa hizo hazina ukweli wowote zimebuniwa na Serikali ya Ukraine na mashirika ya kijasusi ya Serikali za magharibi ndio wanao sambaza taarifa hizi potofu zenye lengo la kuwatia hofu wanajeshi potential wa Urusi ili waogope kupigana vita, watoroke vitani na kukataa kujiunga na jeshi la Russia, as I said, lengo kuu za taarifa hizi ni to gross misinform public and Russian armed forces by creating fear - actually hizi ni childish tactics za kivita, cha ajabu kuna baadhi ya wanadamu wana hadaahika kirahisi sana,wanafikiri zina ukweli!!