Wabunge wa Urusi waishutumu ukraine kutumia wanajeshi waliotengenezwa maabara na Marekani

usibishane na teknolojia.. lolote linaweza kutokea katika ulimwengu huu wa teknolojia.. usiseme hizo ni propaganda hao watu weupe wako mbali sana kiteknolojia
 
Utetezi dhaifu waseme wamwambie Putin malengo yake sisawa athitishe vita
 
div 0 haiez jificha ,yaan wabunge wa urusi waongee lawama umpe Zele
 
Kwani mkuu haiwezekani kutengeneza super human?
Kama wanaweza kumodify genes za ng'ombe wa kienyeji na kumfanya awe na maziwa mengi na nyama nyingi (wa kizungu).
Wanashindwaje kumfanya binadamu awe na stamina kubwa na Akili nyingi?
 
Imekaaje hii mbona sielewi chief
Best, hapa watunga Sera wa Klemlin wana-justfy hoja yao kuwa waale wanajeshi wa Ukraine ni binadamu walioboreshwa kwasabau zifuatazo:
Miili yao/damu zao inaonekana kuwa na vimelea vya magonjwa kama Hepatitis B pamoja na madawa ya kuongeza nguvu; pia wanaonekana kuwa na ukatili wa juu hivyo kuashiria kuwa wametolewa ufahamu na huruma za kawaida na kuashiria pia kuwa haya yalifanywa kwenye maabara za kibaolojia zilizokuwa zinasimamiwa na Marekani
 
Kwani mkuu haiwezekani kutengeneza super human?
Kama wanaweza kumodify genes za ng'ombe wa kienyeji na kumfanya awe na maziwa mengi na nyama nyingi (wa kizungu).
Wanashindwaje kumfanya binadamu awe na stamina kubwa na Akili nyingi?
Hiyo kitu bado not deployed kirahis hivyo. Hiyo ni excuse ya viongoz wa russia.
Man anaweza kuwa ruthless if you provoke them at their home.. they will give their all.

Kuna tofauti kubwa ya kupigana na mtu ambae yuko kwake ww ndio mvamizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ