Unachochea ili uelekeo urejee tulikotoka na ulipokwamia,kamwe huko hatuta rejea na tutasonga katina uelekeo uliobora zaidi.Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.
Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache kufocus na kukamilisha SGR ,Bwawa la nyerere ,ajira, viwanda ambavyo ndiyo hitaji la wananchi akaanze kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili ya katiba ambayo ni hitaji la wanasiasa tu?
Mbaya zaidi wanataka mchakato wa katiba uanze upyaaaaa na siyo pale ulipoishia zamani
Mkuu heshima ni kitu cha bure- unatoa wapi mamlaka ya kuyaita mawazo ya mtu mwingine mawazo ya ajabu- utakuwa hujazaliwa wewe ulikuja duniani hapa kwa njia ya upasuwaji.Tangu wiki hii ianze tumeshuhudia ushauri wa ajabu sana kutoka kwa Wabunge wa viti maalum. Kila wanachoongea ni pumba tupu hadi unajiuliza hawa watu walipatikana vipi.
Ushauri wangu kaeni kimya maadam mshahara wa milioni 11 unaingia kila mwezi. Biblia imeandika "HATA MPUMBAVU AKINYAMAZA HUHESABIWA HEKIMA".
Fuateni nyayo za baadhi ya wabunge wenzenu humo, hawajawahi kuchangia chochote kwao bora kugonga meza kuliko kusimama na kuongea " utumbo wa kuku".
Ungekuwa unafatilia usingetetea huo ujinga. Hao watu wanatakiwa kushtakiwa na mishahara/kodi za wananchi warudishe.Mkuu heshima ni kitu cha bure- unatoa wapi mamlaka ya kuyaita mawazo ya mtu mwingine mawazo ya ajabu- utakuwa hujazaliwa wewe ulikuja duniani hapa kwa njia ya upasuwaji.
Mkuu haijalishi- kutoa mawazo ni haki ya asili. na KUHUKUMU ni haki ya Mungu peke yake. Wewe ni nani duniani hapa? Jiheshimu.Ungekuwa unafatilia usingetetea huo ujinga. Hao watu wanatakiwa kushtakiwa na mishahara/kodi za wananchi warudishe.
Nawewe mbona nawewe unamshutumu.Mkuu heshima ni kitu cha bure- unatoa wapi mamlaka ya kuyaita mawazo ya mtu mwingine mawazo ya ajabu- utakuwa hujazaliwa wewe ulikuja duniani hapa kwa njia ya upasuwaji.
Tofautisha mambo ya Mungu na mambo ya siasa. Ukiingia kwenye siasa ni kama kuuza utumbo wa mbuzi lazima unuke.Mkuu haijalishi- kutoa mawazo ni haki ya asili. na KUHUKUMU ni haki ya Mungu peke yake. Wewe ni nani duniani hapa? Jiheshimu.
Sasa nini maana ya bunge kusimamia serikali au ndo kujifukuza kwenyewe
Hapo washapewa semian miezi miwili, yaani jiwe alituletea vilaza wa mwisho kabisa, hii nchi inahitaji kuombewa sana,Tangu wiki hii ianze tumeshuhudia ushauri wa ajabu sana kutoka kwa Wabunge wa viti maalum. Kila wanachoongea ni pumba tupu hadi unajiuliza hawa watu walipatikana vipi.
Ushauri wangu kaeni kimya maadam mshahara wa milioni 11 unaingia kila mwezi. Biblia imeandika "HATA MPUMBAVU AKINYAMAZA HUHESABIWA HEKIMA".
Fuateni nyayo za baadhi ya wabunge wenzenu humo, hawajawahi kuchangia chochote kwao bora kugonga meza kuliko kusimama na kuongea " utumbo wa kuku".
This is too much, ni wizi wa wazi kabisa, kwa kitu gani wanacho zalisha!!!?mshahara wa milioni 11 unaingia kila mwezi
Kumbukeni, marehemu hakuwa anapenda watu wenye akili.Ungekuwa unafatilia usingetetea huo ujinga. Hao watu wanatakiwa kushtakiwa na mishahara/kodi za wananchi warudishe.
Ingekuwa vema wangefuta viti vya upendeleo kwanza. Nila ya viti vya upendeleo, Bashiri na Polepole wasingekuwa bungeni.Viti maalum vifutwe, ni matumizi mabaya sana ya pesa za walipa kodi.