Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni kwa sababu ya uwiano basi sheria iwekwe kwamba kama mkoa una majimbo matano ya ubunge majimbo mawili wagombea wake wawe ni wanawake tu !! Tubane matumizi !!Wale viti maalumu hua ni kuleta uwiano wa 50 50 kwa wanawake na wanaume bungeni.
Katika maswala ya gender equality inabidi wote tuonekane tupo katika ngazi za kufanya maamuzi na hili siyo ombi ni lazima ili kupata mikopo.
Kwahivyo viti maalumu vilibuniwa kwaajili hiyo.
Hawa wa kuteuliwa kuna scenarios nyingi;
- Mfano rais akaona kuna mtu anafaa kua waziri ila siyo mbunge atatumia hiyo nafasi.
- Anataka tu kuongeza idadi ya watakaompa kura za ndio bungeni.
- kulipa fadhila.
- Kuhonga n.k.
pointKama ni kwa sababu ya uwiano basi sheria iwekwe kwamba kama mkoa una majimbo matano ya ubunge majimbo mawili wagombea wake wawe ni wanawake tu !! Tubane matumizi !!
😳😄 kwahyo anatumia ubini wako si kwa mahaba haya.Huyu ni babe wangu, mpenzi wangu nimpendae sana😁
Yani kifupi, ananipenda sana na mimi nampenda kuliko![emoji15][emoji1] kwahyo anatumia ubini wako si kwa mahaba haya.
adi wivu 😖Yani kifupi, ananipenda sana na mimi nampenda kuliko!
Sawa kabisa.Na kumimina sifa kwa Rais
Hapo ndiyo aim ya wao kuwepo paleSawa kabisa.
Binafsi yangu hawana maajabu zaidi ya takwa la katiba tu.Bwashee umenikumbusha hasira zangu dhidi ya wale wabunge wasiyo halali na wanaojifanya kuwalinda.Mimi naomba kushangaa, nchi inapokua uchumi wa chini ni heri kujitahidi kuzuia mianya ya ufujaji na upotevu mkubwa wa pesa za serikali.
Licha ya kwamba bunge la Tanzania lina wabunge wengi kutokana na majimbo kuwa mengi, bado pia wanaongeza wabunge wa viti maalumu na wabunge wa kuteuliwa tu na Rais, hawana majimbo wala hawana ofisi.
Hii ni kama vile hatujitambui wabunge wasio na majimbo wanakua zaidi ya 100, hivi kwa mwezi tunapoteza kiasi gani hapa?
Baaada ya miaka mitano wanapewa na viinua migongo kabisa.
Aisee hiii nchi inahitaji mabadiliko makubwa sana, hii hela inayopotea kwa hawa wabunge wasio na majimbo ingeweza kujenga zahanati ngapi kila mwaka?
Basi kama tumeshindwa kubadilisha katiba kwa ujumla, inabidi tubadilishe baadhi ya vipengele, tuna matumizi makubwa sana yasiyo na tija.
HAZINA TIJA KWA TAIFA WANAPEANA UBUNGE WAKE NA WATOTO WAOMimi naomba kushangaa, nchi inapokua uchumi wa chini ni heri kujitahidi kuzuia mianya ya ufujaji na upotevu mkubwa wa pesa za serikali.