Wabunge wa Viti Maalum na wale wa kuteuliwa na Rais wana faida gani katika Taifa?

Kama ni kwa sababu ya uwiano basi sheria iwekwe kwamba kama mkoa una majimbo matano ya ubunge majimbo mawili wagombea wake wawe ni wanawake tu !! Tubane matumizi !!
 
Kama ni kwa sababu ya uwiano basi sheria iwekwe kwamba kama mkoa una majimbo matano ya ubunge majimbo mawili wagombea wake wawe ni wanawake tu !! Tubane matumizi !!
point
 
Ubunge wa vita maalum ufutwe,
#Katiba mpya
 
Binafsi yangu hawana maajabu zaidi ya takwa la katiba tu.Bwashee umenikumbusha hasira zangu dhidi ya wale wabunge wasiyo halali na wanaojifanya kuwalinda.
 
HAZINA TIJA KWA TAIFA WANAPEANA UBUNGE WAKE NA WATOTO WAO
 
Kabla ya kuidai katiba mpya wanaoidai wangeanza kudai hawa wabunge hewa waondolewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…