Wabunge wa viti maalum nao ni mafisadi wa elimu.

Mzee wa SUP

Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
62
Reaction score
18
Habari ndugu wa jf..
Hapa chuoni kwetu MZUMBE kuna mbunge wa viti maalum-CCM anatokea Singida, kwa bahati mbaya kila nikijaribu kujua jina lake nashindwa kulipata.
Kozi ya CHRM-certificate of Human Resources and Management.Watu wanaesoma naye wanathibitisha ya kwamba hakuwai kuonekana kwenye TEST yeyote ile lakini Course zake amepata alama zisizopungua B, na wala hajafanya UE lakini alama zake hazipungua B.Kwa maana hiyo hana SUP wala DISCO.
Jamani hii elimu ya bongo kwisha kabisa.
 
Chidumu Chiama cha mapinduaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!:cool2:
 
Weraaaaaaaaaa! Hao ndio mafisadi bwana wakiamua kufanya lolote lile wanafanya 2 lakini mwisho wao ni 2015.
 
Yale yale ya Vicky Kamata,chezea mengine sio elimu jamani! Tusubiri tutaona...mikataba mibovu,etc
 
Mzumbe.....ngoja nimalizie st anna yangu ntarudi soon.
 
Si hao hao mzumbe ndiyo walimpa Waziri ...PHD ya utata?Pia hao hao walimu wao pia TCU iliwaumbua na PHD za kuchakachua au?Kama ni Mzumbe wala sishangai mie!!
 
Habari ndugu wa jf..
Hapa chuoni kwetu MZUMBE kuna mbunge wa viti maalum-CCM anatokea Singida, kwa bahati mbaya kila nikijaribu kujua jina lake nashindwa kulipata.
Kozi ya CHRM-certificate of Human Resources and Management.Watu wanaesoma naye wanathibitisha ya kwamba hakuwai kuonekana kwenye TEST yeyote ile lakini Course zake amepata alama zisizopungua B, na wala hajafanya UE lakini alama zake hazipungua B.Kwa maana hiyo hana SUP wala DISCO.
Jamani hii elimu ya bongo kwisha kabisa.
kwanini wabunge na si mbunge? Vipi hayo matokeo huwa mnabandikiwa notice board?
 
Si hao hao mzumbe ndiyo walimpa Waziri ...PHD ya utata?Pia hao hao walimu wao pia TCU iliwaumbua na PHD za kuchakachua au?Kama ni Mzumbe wala sishangai mie!!

Mimi sijamwelewa mwanzisha thread, anasema huyo Mbunge hamfahamu kwa jina. Sasa amewezaje kujua matokeo yake?. Hii habari ni fabrication ya hali ya juu. Na pia nashangaa watu wanashabikia bila hata kutafakari kwa makini. Na pia bwana ITEGAMATWI tuambie ni waziri yupi alipata Phd yenye utata?
 
Back
Top Bottom