Mzee wa SUP
Member
- Mar 19, 2012
- 62
- 18
kwanini wabunge na si mbunge? Vipi hayo matokeo huwa mnabandikiwa notice board?Habari ndugu wa jf..
Hapa chuoni kwetu MZUMBE kuna mbunge wa viti maalum-CCM anatokea Singida, kwa bahati mbaya kila nikijaribu kujua jina lake nashindwa kulipata.
Kozi ya CHRM-certificate of Human Resources and Management.Watu wanaesoma naye wanathibitisha ya kwamba hakuwai kuonekana kwenye TEST yeyote ile lakini Course zake amepata alama zisizopungua B, na wala hajafanya UE lakini alama zake hazipungua B.Kwa maana hiyo hana SUP wala DISCO.
Jamani hii elimu ya bongo kwisha kabisa.
Si hao hao mzumbe ndiyo walimpa Waziri ...PHD ya utata?Pia hao hao walimu wao pia TCU iliwaumbua na PHD za kuchakachua au?Kama ni Mzumbe wala sishangai mie!!