Nkarahacha
Member
- Oct 3, 2023
- 17
- 38
Wabunge wa viti maalumu Dkt Bashiru Ally na Oliva Semuguruka wameungana na kufanya mkutano wa hdhara uliofanyika katika manispaa ya Bukoba.
Wabunge hao wameitisha mkutano huo kwa lengo la kuyasema yale yaliyotekelezwa na serikali ya awamu ya sita.
Dkt Bashiru ni kwa mara ya kwanza kushiriki mkutano wa hadhara kijimbo mkoani Kagera tangu ateuliwe na rais kuwa mbunge wa viti maalumu huku mhe,Oliva ikiwa ni utamaduni wake wa kufanya mikutano mkoani Kagera.