Pre GE2025 Wabunge wa viti maalumu Dkt Bashiru na Oliva waungana kwenye mkutano wa hadhara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wabunge wa viti maalumu Dkt Bashiru Ally na Oliva Semuguruka wameungana na kufanya mkutano wa hdhara uliofanyika katika manispaa ya Bukoba.

Wabunge hao wameitisha mkutano huo kwa lengo la kuyasema yale yaliyotekelezwa na serikali ya awamu ya sita.

Dkt Bashiru ni kwa mara ya kwanza kushiriki mkutano wa hadhara kijimbo mkoani Kagera tangu ateuliwe na rais kuwa mbunge wa viti maalumu huku mhe,Oliva ikiwa ni utamaduni wake wa kufanya mikutano mkoani Kagera.

Hatimayee....
 
Wanayasema yapi hayo yasiyoendana mpaka yasemewe
 
JPM hakuwahi kumpa Bashiru ubunge

Basi tuziweke kumbu kumbu zetu kwenye usahihi.
Wewe upo sahihi, cheo cha mwisho alichogawiwa na Magu ni ukatibu mkuu kiongozi na baada ya muda mfupi Magu akafariki.
Nimekumbuka, baada ya kutolewa ukatibu mkuu kiongozi ndiyo akapachikwa huo Ubunge.
 
Back
Top Bottom