Nkarahacha
Member
- Oct 3, 2023
- 17
- 38
Viti maalum ni vya K, sasa na bashiru kaota K?Wabunge wa viti maalumu Dkt Bashiru Ally na Oliva Semuguruka wameungana na kufanya mkutano wa hdhara uliofanyika katika manispaa ya Bukoba.
Wabunge hao wameitisha mkutano huo kwa lengo la kuyasema yale yaliyotekelezwa na serikali ya awamu ya sita.
Dkt Bashiru ni kwa mara ya kwanza kushiriki mkutano wa hadhara kijimbo mkoani Kagera tangu ateuliwe na rais kuwa mbunge wa viti maalumu huku mhe,Oliva ikiwa ni utamaduni wake wa kufanya mikutano mkoani Kagera
Hua nakuona kwenye mada za sheria...Viti maalum ni vya K, sasa na bashiru kaota K?
😆😆😆😆😆
Naona huo ndio mwelekeo wake.Anarudi kwenye Baraza la mawaziri!!
Mama atajitahidi kutumia team jpm kumvusha!
uulize huyo alikuleta duniani kama sina akilihuna akili...
Huna akili usihangaike kukataa...m
uulize huyo alikuleta duniani kama sina akili
nasema muulize alikuzaa kama sina akili wewe usingelipatiikanaHuna akili usihangaike kukataa...
Unaweza ukawa huna akili ama dishi lako limeyumba!Wabunge wa viti maalumu Dkt Bashiru Ally na Oliva Semuguruka wameungana na kufanya mkutano wa hdhara uliofanyika katika manispaa ya Bukoba.
Wabunge hao wameitisha mkutano huo kwa lengo la kuyasema yale yaliyotekelezwa na serikali ya awamu ya sita.
Dkt Bashiru ni kwa mara ya kwanza kushiriki mkutano wa hadhara kijimbo mkoani Kagera tangu ateuliwe na rais kuwa mbunge wa viti maalumu huku mhe,Oliva ikiwa ni utamaduni wake wa kufanya mikutano mkoani Kagera.
JPM hakuwahi kumpa Bashiru ubungeUbunge wa bure wa Bashiru alipewa na Jpm na lengo lilikuwa ni 'kumchunuku' cheo kikubwa.
Lakini ndivyo hivyo tena, hakuna aijuaye kesho yake.