Tetesi: Wabunge wa viti maalumu wa CCM kutakiwa kugombea majimboni, bunge lijalo viti hivyo ni kwa wanawake wasomi wenye maono

hii imekaa vizuri!
 
Yohana mbatizaji. Hata hivyo viti maalumu vilitakiwa vigombewe kati ya wanawake wa vyama tofauti, badala ya kuwa hisani ya viongozi wa vyama kwa kina mama eg Kenya
 
Sijasoma, but I have got vision....wanajamii mtanichagua ????!!!!!! πŸ™„πŸ™„β˜ΊοΈβ˜ΊοΈπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ
 
Yohana mbatizaji. Hata hivyo viti maalumu vilitakiwa vigombewe kati ya wanawake wa vyama tofauti, badala ya kuwa hisani ya viongozi wa vyama kwa kina mama eg Kenya
Hakika...... Utaratibu wa Kenya ni mzuri sana!
 
Badala ya chadema kuwajadili ccm ilitakiwa iwapongeze na kuiga mfano wao kwani wana wabunge wa viti maalumu wana zaidi ya mihula mitatu wala hawana mawazo ya kugombea
 
Kwakifupi basi limeshajaa. Wengi wataachwa kwenye vituo. Dereva ana majina ya Abiria Wake wote mkononi. Ni suala la muda tu.
 
Kwangu wa jimbo kapitishwa wa ameishia darasa la nne hata kiswahili kuongea shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…