Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 761
- 6,985
Mbunge akiteuliwa na Rais anapoingia Bungeni anakabidhiwa gari yakutembelea V8 au anajitaftia gari analiona litampendeza kulingana na shida au utajiri wake?
Nauliza swali ili kulinganisha na kauli ya maisha Ni paredi, ukimbiwa nyuma geuka unakuwa wa mwisho na wa mwisho anakua wa Kwanza.
Lakini pia maisha si kutembelea V8 huku wananchi wakiwa awana dawa, maisha nikutembelea IST huku ukipeleka fedha za V8 kutatua shida ya wananchi
Maisha siyo kufanya kufuru kwakutukana wengine bali maisha nikumfanya kila mmoja awe sehemu ya furaha yako.
Polepole unaendelea kumiliki V8 au umerejea nyumbano na RAV 4 yako?