Wabunge wa Yanga vs wabunge wa Simba, hichi ndicho nakiona

Wabunge wa Yanga vs wabunge wa Simba, hichi ndicho nakiona

bukoba04

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2014
Posts
1,402
Reaction score
1,291
wadau nimejiunga kidogoa mida hii TBC nakutana na hii mechi ya hawa watu wa mjengoni...

mpra unavutia kwa kweli, ni dk ya 18, wabunge wa yanga wanaongoz 3 kwa sifuri...

Dhumuni la mechi hii ni kuchangisha michango kwa ajili ya wahanga wa tetemeko mkoa wa kagera....

ninachokiona ni wanbunge wa ukawa wanashingiliwa kwa wingi kuliko wa ccm, hata wa ccm akifunga bado apewi shavu la kutosha...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] SAFI SANA WACHA WASISHANGILIWE
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] SAFI SANA WACHA WASISHANGILIWE
nasikia chama la wana wamewavuruga kandambili!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mbona sioni wabunge wa Ukawa humo... Naona wa CCM tu.. Hivi Ukawa mpaka shughuli muhimu kama hizi wanajitenga??
 
Mbona sioni wabunge wa Ukawa humo... Naona wa CCM tu.. Hivi Ukawa mpaka shughuli muhimu kama hizi wanajitenga??
Mpaka dakika ya 50 ilikuwa tano kwa moja sijui game iliishaje na walipangiwa kucheza dakika 60
 
Kama wangekatwa asilimia kumi ya posho zao za mwezi tu wangepata pesa nyingi zaidi ya viingilio hivi
 
Back
Top Bottom