Wabunge wachukizwa na Kipigo 2-0 Taifa Stars...Wadai Kocha Amunike hafai na hana uzeoefu wa kupewa Timu ya TAIFA.....

Wabunge wachukizwa na Kipigo 2-0 Taifa Stars...Wadai Kocha Amunike hafai na hana uzeoefu wa kupewa Timu ya TAIFA.....


Sasa amunike Ana kosa gani wakati umeona kabisa kwamba mipira yote tulikuwa tunaipoteza kwa uzembe wa wachezaji watu....halafu tanzania hatujajaaliwa viungo vizuri na ndo ambao wanatugharimu....tatizo sio kochaaa
 
Wachambuzi wapya wa michezo.

Wanataka maajabu ya miaka 39 yatokee tu bila hata maandalizi!
 
Ivi kwani tulikua na matumain kua Tanzania itamfunga Senegal kwel ?
 
Pale viongozi wabovu, wanapowaona wachezaji wabovu.

Screenshot_20190624-203621_Instagram.jpg
 
Lazma tufahamu kuwa senegal wachezaji wake wote ni ma proffesionals player toka ulaya kwa hivyo tukubali kuwa ni sawa na tulipigwa ndee na combine ya ulaya
*SENEGAL SQUAD*

*Goalkeepers:*

-Abdoulaye Diallo (Rennes, France)
-Alfred Gomis (Spal, Italy)
-Edouard Mendy (Reims, France)

*Defenders:*

-Kalidou Koulibaly (Napoli, Italy)
-Moussa Wague (FC Barcelona, Spain)
-Pape Abdou Cisse (Olympiacos, Greece)
-Salif Sane (Schalke,Germany)
-Youssouf Sabaly (Bordeaux,France)
-Lamine Gassama (Goztepe, Turkey)
-Saliou Ciss (Valenciennes, France)
-Cheikhou Kouyate (Crystal Palace, England)

*Midfielders:*

-Alfred Ndiaye (Malaga, Spain)
- Santy Ngom (Nancy, France)
- Idrissa Gana Gueye (Everton, England)
-Keprin Diatta (Club Brugge, Belgium)
-Pape Alioune Ndiaye (Galatasaray, Turkey)
-Sidy Sarr (Lorient, France)
-Henri Saivet (Bursaspor, Turkey)

*Forwards:*

-Ismaila Sarr (Rennes, France)
-Keita Balde (Inter Milan, Italy)
- Mbye Niang (Rennes, France)
-Moussa Konate (Amiens, France)
-Mbaye Diagne (Galatasaray, Turkey)
- Sada Thioub (Nimes, France)
-Sadio Mane (Liverpool, England)

Mungu ibarik taifa stars .......[emoji1324]‍♂
 
Back
Top Bottom