Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili bunge hili acha tu limalize muda wakeHawa nao badala ya kujadili mambo ya msingi, wako busy kujadili mambo ya kipuuzi tu.
Ndio uwezo na upeo wao ulipoishiaMbona wa kwanza peke yake ndo kasikika wengine hawasikiki?
Afu badala ya kujadili mambo muhimu ya kitaifa inakuwaje wanajadili mambo ya ndoa?
Upumbavu tuu,eti ndoa inavunjika kwa sababu Wanaume hawahudumii na wanawake wanahudumia..
naunga mkono hoja.Upumbavu tuu,eti ndoa inavunjika kwa sababu Wanaume hawahudumii na wanawake wanahudumia..
Kwa taarifa yao,hakuna single reason za kuvunjika kwa ndoa ila Sababu kuu ni mfumo dume kwa mujibu wa Mila za Africa na kile kinachoitwa haki za wanawake kwamba nao wanatakiwa kuwa sehemu ya kuchangia kipato kwenye familia hivyo kumpa mwanamke uhuru zaidi na hapo wanaume wanaona kama wameingiliwa na hawana command tena..
Bora huyo aliyesema kwamba ndoa ni jambo la kiimani ila hakuna sababu moja na haitakuja kutokea..
As for me,suluhisho langu ni kuishi kwa mujibu wa maadili ya kiafrica hivyo sikubaliani na ishu ya mwanamke mmja au mwanamke kumiliki mali Wala hiyo inaitwa empowerment ya wanawake inayolenga kutafuta ligi na mwanaume.

Naifunguaje hii attachment