Wabunge wafunguka sababu za kuvunjika kwa ndoa

Nobunaga

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Posts
1,205
Reaction score
5,121
Your browser is not able to display this video.
 
Upumbavu tuu,eti ndoa inavunjika kwa sababu Wanaume hawahudumii na wanawake wanahudumia..

Kwa taarifa yao,hakuna single reason za kuvunjika kwa ndoa ila Sababu kuu ni mfumo dume kwa mujibu wa Mila za Africa na kile kinachoitwa haki za wanawake kwamba nao wanatakiwa kuwa sehemu ya kuchangia kipato kwenye familia hivyo kumpa mwanamke uhuru zaidi na hapo wanaume wanaona kama wameingiliwa na hawana command tena..

Bora huyo aliyesema kwamba ndoa ni jambo la kiimani ila hakuna sababu moja na haitakuja kutokea..

As for me,suluhisho langu ni kuishi kwa mujibu wa maadili ya kiafrica hivyo sikubaliani na ishu ya mwanamke mmja au mwanamke kumiliki mali Wala hiyo inaitwa empowerment ya wanawake inayolenga kutafuta ligi na mwanaume.
 
ivi kufurika kwa wageni dodoma kipindi cha bunge, huwa wanafwata nini?
 
naunga mkono hoja.
 
naunga mkono hoja.
 
Wanapenda kujadili mambo nyepenyepe tu

Ova
 
Bunge la sampuli hii afu utegemee nchi ipate maendeleo !! hiiii
 
Hizi attachment mnazifunguaje? Mbona kwangu haifunguki nikiclick?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…