Wabunge waibua shangwe Bungeni Dkt. Tulia akijitambulisha

Mods nyuzi km hizi futeni watu tupo kwenye maombolezo, sasa kuachilia nyuzi zinazoongelea wauaji ni kututafutia ban.

nyie jamaa ni mambo ya kidekteta kabisa, hamna tofauti na CCM
 
Madikteta ni wale wanaoua ili kutawala kimabavu..!!

udikteta unaanzia kwenye fikra, kitendo cha kutaka kila mtu afate au azungumze unavyotaka wewe na wewe tayari ni walewale
 
Nyuzi za kipuuzi kama hizi,wakati wa maombolezo, zitupwe jalalani. JF siyo jukwaa la kuwapamba wauaji. Watanzania hakuna mbunge wala rais waliyemchagua.
sasa mods wanasikia? Yaani imagine hadi kipindi kile jf imefungiwa, bado waliwatolerate hao machawa na makunguni!! Mi kuna muda simwelewi max melo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…