Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge mteule wa Jimbo la Uyole Dkt. Tulia Ackson akijitambulisha Bungeni leo.
Amechangia mauaji ya wale vijanawakati amechangia kutufikisha hapa.
bunge la manyani wa ccm! Wamemshangilia nyani mwenzao kwa kukwapua ndizi! Hahahahahahahaha!Bunge gani hilo?
nakubaliana na wewe! Ila mods wanavunga kama hayawahusu!Mods nyuzi km hizi futeni watu tupo kwenye maombolezo, sasa kuachilia nyuzi zinazoongelea wauaji ni kututafutia ban.
kama hutaki kusoma kwani umelazimishwa si upite kimya kimyaHizi habari peleka kwenye magroup yenu ya ccm, usituletee upumbafu humu
Shenziiiii
kwa hiyo?Aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge mteule wa Jimbo la Uyole Dkt. Tulia Ackson akijitambulisha Bungeni leo.
Kwanza, ni hao hao ndio wamefungia JF isiwe hewani inakuwaje sasa tena wanaleta nyuzi za upuuzi wao na wakijua huku walishapafungia?Mods nyuzi km hizi futeni watu tupo kwenye maombolezo, sasa kuachilia nyuzi zinazoongelea wauaji ni kututafutia ban.
Nakazia mods wafanye kazi yaoMods nyuzi km hizi futeni watu tupo kwenye maombolezo, sasa kuachilia nyuzi zinazoongelea wauaji ni kututafutia ban.
Bado hajaja Lucas kuharisha humumod ondoeni takataka hii
Nani aliwachaguaAliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge mteule wa Jimbo la Uyole Dkt. Tulia Ackson akijitambulisha Bungeni leo.