Wanafiki tu.
Hospitali zimepunguziwa sana ruzuku toka serikali na kibaya zaidi hospitali kubwa zinalazimishwa kutoa gawio.
Sasa hapo unategemea zitatoa wapi pesa kama siyo kukamua mpaka maiti ?
Hao wabunge wanazungumza utafikiri hawajui tatizo ni Magufuli.