GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hata Mimi nimewashangaa sana yaani wanaacha Kuhangaika na Sakata la DP World wao wanahangaika na Watoto / Vibinti Kukata Viuno!Mauno kama mauno,hao wabunge waache wivu wa kijinga.
Huko kongo kukata viuno ni uchezaji wa kawaida kabisa kama kucheza twistKwa anayetaka Taarifa Kamili juu ya Wabunge Kukerwa na Watoto Kukata Viuno katika Mahafali yao tafuta Copy yako ya Gazeti la HABARI LEO la Leo ukurasa wa Nne ( 4 ) ili uyajue mengi.
Wakati wao bungeni kazi yao ni kiruka sarakasi na kusindana kula ubwabwa na kukata mauno piaHata Mimi nimewashangaa sana yaani wanaacha Kuhangaika na Sakata la DP World wao wanahangaika na Watoto / Vibinti Kukata Viuno.
Yan wabunge wanaanza kukemea kukatika viuno badala ya sakata la bandari ambalo ni sintofahamu kwa wanaowawakilisha.Kwa anayetaka Taarifa Kamili juu ya Wabunge Kukerwa na Watoto Kukata Viuno katika Mahafali yao tafuta Copy yako ya Gazeti la HABARI LEO la Leo ukurasa wa Nne ( 4 ) ili uyajue mengi.