Uchaguzi 2020 Wabunge waliohamia CCM kwa kujiuza au kwa hiyari yao njia panda , Mikataba ya ununuzi mwisho octoba 2020

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426

Kwa mujibu wa mikataba waliyoandikiana ni kwamba uchaguzi ujao hawatabebwa , bali wanapaswa kupigania roho zao wenyewe kwa kupitia kura za maoni ambazo ndio utaratibu wa halali .

Hofu iliyopo ni kwamba watapitishwa na nani kwenye chama ambacho hawana mizizi hata ya size ndogo kama Caroti ama mhogo ?
 
mleta mada wewe vipi mbona Lowasa na Duni Haji 2015 walipita kilaini tu kuwa wagombea chadema wakati hawajawahi kuwa wanachana hata kwa wiki moja tu?
mbona hawakuwa njia panda waliingia tu hao wakaibuka wagombea chap chap
 
Hata Mtatilo amepata uDC kilaini amekuacha wewe huku jamii forum ukihangaika na kulialia
 
Leo hii muda mfupi ulio pita kuna mwingine kaamua kujimaliza kisiasa kule Tandahimba

In God we Trust
 
Tatizo lako wewe ni shule hivyo hata aina ya michango yako inaenda hivyo hivyo ki umande umande
mleta mada wewe vipi mbona Lowasa na Duni Haji 2015 walipita kilaini tu kuwa wagombea chadema wakati hawajawahi kuwa wanachana hata kwa wiki moja tu?
mbona hawakuwa njia panda waliingia tu hao wakaibuka wagombea chap chap

In God we Trust
 
Sitetei chama chochote lakini naweza sema huku ni kujipa faraja tu... Cdm has been defeated.
 
mleta mada wewe vipi mbona Lowasa na Duni Haji 2015 walipita kilaini tu kuwa wagombea chadema wakati hawajawahi kuwa wanachana hata kwa wiki moja tu?
mbona hawakuwa njia panda waliingia tu hao wakaibuka wagombea chap chap
Kama ni hivyo si muwatueu na nyie hao waliohamia? Mmewaangusha sana ccm asilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…