Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Kwani nani hakuiona huko Mwananchi mpaka ailete tens huku? Pumnavu!Au huoni ni habari kitoka mwananchi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nani hakuiona huko Mwananchi mpaka ailete tens huku? Pumnavu!Au huoni ni habari kitoka mwananchi?
Mbona mnajaa upepo hivyo?Hii ndiyo JF,sehemu ambayo tunahabarishana!Sio kila mtu ana access ya kusoma mwananchi so sioni ubaya ya habari hiyo kuletwa hapa!Kwanini mnateseka?Kwani nani hakuiona huko Mwananchi mpaka ailete tens huku? Pumnavu!
Watatumia yale mabilioni waliyopewaView attachment 1365069
Kwa mujibu wa mikataba waliyoandikiana ni kwamba uchaguzi ujao hawatabebwa , bali wanapaswa kupigania roho zao wenyewe kwa kupitia kura za maoni ambazo ndio utaratibu wa halali .
Hofu iliyopo ni kwamba watapitishwa na nani kwenye chama ambacho hawana mizizi hata ya size ndogo kama Caroti ama mhogo ?
Mbona hamkutuhabarisha mapema kuwa Dk. Mashinji anahamia CCM? Tuhabarishe na wengine wanaotarajia kuhama tuwajue mapema. Mimi namfahamu Esther Bulaya. Niambie na mwingine.Mbona mnajaa upepo hivyo?Hii ndiyo JF,sehemu ambayo tunahabarishana!Sio kila mtu ana access ya kusoma mwananchi so sioni ubaya ya habari hiyo kuletwa hapa!Kwanini mnateseka?
Hapa JF mtu akileta habari,watu wanauliza source yake ni nini!Mtu ameweka na source imekuwa nongwa kwamba angeacha huko huko mwananchi!!Daah,kazi kweli kweli!
Lakini si walipewa pesa nyingi na kiinua mgongo juu?? Au walitishiwa tu bunduki wakahama bila chochote??Kwanza saa hizi tunavyoongea sijui kama hata usingizi wanapataga kiroho juu kinatwangia masikioni pwa! pwa! pwa! kikisindikizwa na kijasho chembamba hahahaa!!..imekula kwao
Hizo tetesi mbona ziliandikwa humu?Ndio kama hivyo umetuhabarisha juu ya Ester Bulaya,tumefahamu hizo tetesi kupitia wewe na wanaJF wengine waliotoa hizo tetesi!Kwahiyo hakuna tatizo na huna sababu ya kumshambulia mleta mada kwa kuleta habari iliyoandikwa gazetini kisa haikufurahishi,nadhani tumeelewana,case closed!Mbona hamkutuhabarisha mapema kuwa Dk. Mashinji anahamia CCM? Tuhabarishe na wengine wanaotarajia kuhama tuwajue mapema. Mimi namfahamu Esther Bulaya. Niambie na mwingine.
Subiri uone kama yatapewa kipaombele kama kwenye zile chaguzi za marudio za kupita bila kupingwa!Sitetei chama chochote lakini naweza sema huku ni kujipa faraja tu... Cdm has been defeated.
😆😆😆😆Mlima Upo Unakwenda Kujenga Bondeni Mafuriko Yakija Acha Ufulikwe
Kuna Ndugu Zangu Wasukuma Walikwenda Lindi Na Mifugo Wakajenga Mabondeni Kufuata Majani
Mvua Ikaja Wacha Wafurikwe
Hao Wamekwenda Mabondeni
Jamani msiwatishe sana. Madhali Rais bado atatoka CCM. Fursa ni nyingi sanaKwanza saa hizi tunavyoongea sijui kama hata usingizi wanapataga kiroho juu kinatwangia masikioni pwa! pwa! pwa! kikisindikizwa na kijasho chembamba hahahaa!!..imekula kwao
Aisee !!Jamani msiwatishe sana. Madhali Rais bado atatoka CCM. Fursa ni nyingi sana
Wakurugenzi wa COUNCIL wilaya na mikoa, wa mamlaka na mashirika ya umma
Makatibu wakuu wa Wizara,
Wenyeviti wa bodi
Mabalozi nchi za nje
Wakuu wa wilaya na mikoa.
Wabunge 10 wa kuteua
Na fursa zingine kibao..
Hao jamaa CCM ikiamua kuwalinda mambo yanaenda tu