Uchaguzi 2020 Wabunge waliohamia CCM kwa kujiuza au kwa hiyari yao njia panda , Mikataba ya ununuzi mwisho octoba 2020

Kwani nani hakuiona huko Mwananchi mpaka ailete tens huku? Pumnavu!
Mbona mnajaa upepo hivyo?Hii ndiyo JF,sehemu ambayo tunahabarishana!Sio kila mtu ana access ya kusoma mwananchi so sioni ubaya ya habari hiyo kuletwa hapa!Kwanini mnateseka?
Hapa JF mtu akileta habari,watu wanauliza source yake ni nini!Mtu ameweka na source imekuwa nongwa kwamba angeacha huko huko mwananchi!!Daah,kazi kweli kweli!
 
Watatumia yale mabilioni waliyopewa
 
Mbona hamkutuhabarisha mapema kuwa Dk. Mashinji anahamia CCM? Tuhabarishe na wengine wanaotarajia kuhama tuwajue mapema. Mimi namfahamu Esther Bulaya. Niambie na mwingine.
 
Kwanza saa hizi tunavyoongea sijui kama hata usingizi wanapataga kiroho juu kinatwangia masikioni pwa! pwa! pwa! kikisindikizwa na kijasho chembamba hahahaa!!..imekula kwao
Lakini si walipewa pesa nyingi na kiinua mgongo juu?? Au walitishiwa tu bunduki wakahama bila chochote??
 
Mbona hamkutuhabarisha mapema kuwa Dk. Mashinji anahamia CCM? Tuhabarishe na wengine wanaotarajia kuhama tuwajue mapema. Mimi namfahamu Esther Bulaya. Niambie na mwingine.
Hizo tetesi mbona ziliandikwa humu?Ndio kama hivyo umetuhabarisha juu ya Ester Bulaya,tumefahamu hizo tetesi kupitia wewe na wanaJF wengine waliotoa hizo tetesi!Kwahiyo hakuna tatizo na huna sababu ya kumshambulia mleta mada kwa kuleta habari iliyoandikwa gazetini kisa haikufurahishi,nadhani tumeelewana,case closed!
Sasa jadili mada iliyoletwa!
 
Mlima Upo Unakwenda Kujenga Bondeni Mafuriko Yakija Acha Ufulikwe
Kuna Ndugu Zangu Wasukuma Walikwenda Lindi Na Mifugo Wakajenga Mabondeni Kufuata Majani
Mvua Ikaja Wacha Wafurikwe

Hao Wamekwenda Mabondeni
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kwanza saa hizi tunavyoongea sijui kama hata usingizi wanapataga kiroho juu kinatwangia masikioni pwa! pwa! pwa! kikisindikizwa na kijasho chembamba hahahaa!!..imekula kwao
Jamani msiwatishe sana. Madhali Rais bado atatoka CCM. Fursa ni nyingi sana
Wakurugenzi wa COUNCIL wilaya na mikoa, wa mamlaka na mashirika ya umma
Makatibu wakuu wa Wizara,
Wenyeviti wa bodi
Mabalozi nchi za nje
Wakuu wa wilaya na mikoa.
Wabunge 10 wa kuteua
Na fursa zingine kibao..
Hao jamaa CCM ikiamua kuwalinda mambo yanaenda tu
 
Aisee !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…