Pre GE2025 Wabunge waliohudumu nafasi zao kwa muda mrefu zaidi…

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Dance Macabre

Member
Joined
May 6, 2024
Posts
32
Reaction score
61
Ni wabunge gani waliopo bungeni wamehudumu kwa muda mrefu zaidi?

Nani anashikilia rekodi ya kuhudumu kwa muda mrefu zaidi? Muda wa wastani wa mbunge kuhudumu ni miaka mingapi?
 
Mkuu,

Yani watu wanaenda kupigana na Idi Amin yeye mbunge mpaka leo karibu miaka 50 baadaye yumo tu kama Wassira?

Mbona Wikipedia yake wanasema kaanza ubunge mwaka 2005?
Anaweza kuwa amevunja rekodi kwa kukaa miaka mingi bungeni
 
Mkuu,

Yani watu wanaenda kupigana na Idi Amin yeye mbunge mpaka leo karibu miaka 50 baadaye yumo tu kama Wassira?

Mbona Wikipedia yake wanasema kaanza ubunge mwaka 2005?
Ooh sorry ni 2005,
Nadhan ni kuwa tu madarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…