Pre GE2025 Wabunge waliohudumu nafasi zao kwa muda mrefu zaidi…

Pre GE2025 Wabunge waliohudumu nafasi zao kwa muda mrefu zaidi…

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Abood - Morogoro Mjini
Jenister - Peramiho
Shabiby - Gairo
Simbachawene - Kibakwe
Ndugai - Kongwa
Lukuvi - Isimani
Jafo - Kisarawe
Mabula - Ilemela
Kukuvi hajaanza muda mrefu, kashakuwa mkuu wa mkoa wa Dar enzi za Kikwete baada ya hapo ndipo akaja kuwa Mbunge
 
Ila wanasiasa kama hawa wapo sana duniani huko..

Kama kina Nancy Pelos Kiranga na Pascal Mayalla wanajua hii..
Long serving senators wa US...

Nimuhim sana kuwa na vyuma kama hivi , matured and experienced kwenye siasa zetu
Tofauti na akina Pelosi, wa kwetu ni machawa hamna lolote la maana wanafanya.
 
Back
Top Bottom