johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wabunge kadhaa waliopigia kura ya Ndio Finance Bill wamerudi Majimboni na kutubu Kwa wapiga kura Wao
Wengi Wao wamedai Shetani aliwapitia wakajikuta wamefanya Uamuzi usio sahihi
Source: Citizen TV
Mlale Unono 😀😀🔥
Wengi Wao wamedai Shetani aliwapitia wakajikuta wamefanya Uamuzi usio sahihi
Source: Citizen TV
Mlale Unono 😀😀🔥