Wabunge waliopiga Kura ya Ndio Kwa Finance Bill Waomba Msamaha, wengine Wadai ni Shetani aliwapitia

Wabunge waliopiga Kura ya Ndio Kwa Finance Bill Waomba Msamaha, wengine Wadai ni Shetani aliwapitia

Siasa ni unafiki flani hivi unaangalia upepo unasoma nini, si mnakumbuka kipindi cha jpm katika msimamo wake kuhusu uviko viongozi wote walimsapoti lakini mda mfupi baada ya kutokuwepo kwake wengine wakawa wanambeza kwa zihaka nyingi kwa hiyo hao wabunge wameamua kufanya U turn baada ya kuona wanaweza shambuliwa au Mali zao kuchomwa moto
 
Katika maisha yako usikae Umuamin Mwanasiasa, hata akikuambia sasa hivi ni asubuhi toka nje kuhakikisha, baada ya shetani kuchomwa wanafuata wanasiasa kuchomwa. Baada ya Generation Z kuleta balaa wanaenda na upepo, eti walipitiwa na shetani.
 
So, the levels of unemployment in Kenya are incredibly high. The levels of poverty are rising. The number of households that go without a meal a day are rising every day. And so the situation is really quite sensitive in terms of the economic outlook, so that this new rash of taxes that were to be introduced in the finance bill felt like a step too far for a lot of Kenyans. And especially for young Kenyans who have gone to school and are sitting at home without jobs, this was a — they became incredibly engaged in the political process because of this particular situation.

Now, the debt that the government is trying to deal with really is, indeed, quite a challenge. We have about $80 billion worth of debt, and that keeps — and the number keeps changing because our currency is also quite weak at this time, and it keeps — and a lot of the debt we have is denominated in dollars.
 
Back
Top Bottom