Wabunge waliopiga Kura ya Ndio Kwa Finance Bill Waomba Msamaha, wengine Wadai ni Shetani aliwapitia

Wewe ni mkenya? Ni kweli mkenya yeyote ni lazima aone fahari kwa kilichotokea. Ila watanzania tumeaibishwa.
tuna cha kujifunza...waswahili wanakwambia ukiona mtu kafanya jema harafu ukashindwa kumsifia ujue kuna walakini....mimi nimeona kama watuheshimisha kwasababu tunatakiwa tujifunzi kupitia wao​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…