Wabunge waliopo Dodoma wanastahili kuitwa waheshimiwa Bado?

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
17,499
Reaction score
25,295
Wachangiaji wote waliochangia bajeti ya mambo ya nje Kila mtu alimsifia Samia
Nape Samia
Bulaya Samia
Kingu Samia
Samia Samia Samia
Wao wanafanya kazi Gani Sasa kama Kila kitu anafanya Samia?
Kwani huwezi ongea bila kutaja jina la raisi?
Kwann waitwe waheshimiwa Hawa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…