Wabunge walioshirikiana na Luhaga Mpina kuihujumu serikali wakiwa ESPIRANCEE ni kina nani?

Wabunge walioshirikiana na Luhaga Mpina kuihujumu serikali wakiwa ESPIRANCEE ni kina nani?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Tetesi zimezagaa Luhaga Mpina hayupo mwenyewe na kuna kundi la wabunge walishirikiana naye kuandaa ile ripoti yake na bado wapo naye. Inadaiwa walikutana Dodoma eneo la Espirancee na kufanya kikao na kuandaa taarifa ile kwa Spika juu ya uongo wa Waziri Bashe.

Wabunge hawa ni kina nani?
 
Na wale wenye viwanda waliompa Mpina barua rasmi za mawasiliano serikali wasakwe.

Abushiri sijui Bushiri au basi sijui Bashiru ka Doto
 
Na wale wenye viwanda waliompa Mpina barua rasmi za mawasiliano serikali wasakwe.

Abushiri sijui Bushiri au basi sijui Bashiru ka Doto
CCM ukiwa umenyooka kama rula (ukiwa huna makandokando), basi tarajia mambo 3:-.
1. Kurogwa.
2. Kufanyiwa zengwe/fitina.
3. Kuuawa.

By Humphrey Polepole
 
Back
Top Bottom