Wabunge walioteuliwa jana na Rais walivyoapishwa leo Bungeni Dodoma

Wabunge walioteuliwa jana na Rais walivyoapishwa leo Bungeni Dodoma

Shadow7

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
33,952
Reaction score
56,156
Wabunge walioteuliwa na Rais Samia Suluhu hapo jana leo wamekula viapo vyao bungeni Dodoma, nchini Tanzania.

maxresdefault.jpeg

Miongoni mwao ni Dkt Bashiru Ally ambaye alikuwa Katibu mkuu Kiongozi pamoja na Balozi Liberata Mulamula ambae ndio Waziri wa mambo ya nje wa sasa.

Muda mfupi baadae mawaziri walioteuliwa watakula kiapo mbele ya Rais Samia huko Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.

Hapo jana Rais wa Tanzania Samia suluhu Hassan alitaja baraza jipya la mawaziri wakati wa hafla ya kuapishwa kwa Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango.

Na Balozi wa Tanzania nchini Japan, Balozi Hussein Yahya Katanga kuteuliwa kushika nafasi ya Katibu Mkuu Kiongozi.

Lisu alijipanga kuchafua nchi .

Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.

Ni aibu kubwa kwa taifa letu

Lakini amegaragazwa ,asante PLO
 
Inawezekana hata kilichokuwa kinaongelewa hujakielewa
Ni lini MATAGA mshawahi kuwa na akili
 
Lisu alijipanga kuchafua nchi .

Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.

Ni aibu kubwa kwa taifa letu

Lakini amegaragazwa ,asante PLO

Lumumba analindwa na Kenya, wakati Lissu Mlimpga risasi
 
Lisu alijipanga kuchafua nchi .

Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.

Ni aibu kubwa kwa taifa letu

Lakini amegaragazwa ,asante PLO
Aisee!
 
Akuzalishe labda hicho kichefuchefu kitakutoka !!. Hoja ya wabunge wewe una ndoto na TAL . Akupe mimba ila kumbuka mkewe ni mkurya

Odhis *
 
Akuzalishe labda hicho kichefuchefu kitakutoka !!. Hoja ya wabunge wewe una ndoto na TAL . Akupe mimba ila kumbuka mkewe ni mkurya

Odhis *
Msaliti mzee wa MIGA lazima ashambuliwe ili apone ugonjwa wake wa akili.
 
Msaliti mzee wa MIGA lazima ashambuliwe ili apone ugonjwa wake wa akili.
Hata kwenye "miga" hukujua alichoishauri serikali !!. Na ndicho kilichofanyika.

Aliwashauri kabla hatujavunja mkataba perekeni kwanza muswada bungeni ili sheria zibadishwe. Ili kwa sheria ilivyokuwa mwanzo tungeshitakiwa huko miga . Na ndicho kilichofanyika pamoja na propaganda uchwara za kina Jiwe

Ndiyo anachokudanganya?

Mwambie sasa hivi tuna kampuni mpya ya Twiga hatuna Acacia
 
Mama ananipa raha sana...nasikia kimeumana huko hahahaha opereshoon delete sukuma gang mafiaso ....mtajua hamjui ...mama anakufukuza huku anakurembulia macho na sauti nyororo hahaha
 
Lisu alijipanga kuchafua nchi .

Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.

Ni aibu kubwa kwa taifa letu

Lakini amegaragazwa ,asante PLO
Lissu ameingiaje hapa?au una mimba ya Lissu. Huyo Lumumba haongelei Rushwa za Kenya na Mgogoro wa Madaraka Uhuru vs DP Ruto.
 
Back
Top Bottom