Inawezekana hata kilichokuwa kinaongelewa hujakielewaLisu alijipanga kuchafua nchi .
Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.
Ni aibu kubwa kwa taifa letu
Lakini amegaragazwa ,asante PLO
Lisu alijipanga kuchafua nchi .
Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.
Ni aibu kubwa kwa taifa letu
Lakini amegaragazwa ,asante PLO
Akuzalishe labda hicho kichefuchefu kitakutoka !!. Hoja ya wabunge wewe una ndoto na TAL . Akupe mimba ila kumbuka mkewe ni mkuryaLisu alijipanga kuchafua nchi .
Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.
Ni aibu kubwa kwa taifa letu
Lakini amegaragazwa ,asante PLO
Msaliti mzee wa MIGA lazima ashambuliwe ili apone ugonjwa wake wa akili.Akuzalishe labda hicho kichefuchefu kitakutoka !!. Hoja ya wabunge wewe una ndoto na TAL . Akupe mimba ila kumbuka mkewe ni mkurya
Odhis *
Hata kwenye "miga" hukujua alichoishauri serikali !!. Na ndicho kilichofanyika.Msaliti mzee wa MIGA lazima ashambuliwe ili apone ugonjwa wake wa akili.
Ndiyo anachokudanganya?Hata kwenye "miga" hukujua alichoishauri serikali !!. Na ndicho kilichofanyika.
Aliwashauri kabla hatujavunja mkataba perekeni kwanza muswada bungeni ili sheria zibadishwe. Ili kwa sheria ilivyokuwa mwanzo tungeshitakiwa huko miga . Na ndicho kilichofanyika pamoja na propaganda uchwara za kina Jiwe
Odhis *
Sasa tunajadili viapo vya kina Bashiru , yeye kakomaa na kichefuchefu cha mimba changa ya Lissu !![emoji23] [emoji23] [emoji23] Aisee
Lissu ameingiaje hapa?au una mimba ya Lissu. Huyo Lumumba haongelei Rushwa za Kenya na Mgogoro wa Madaraka Uhuru vs DP Ruto.Lisu alijipanga kuchafua nchi .
Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.
Ni aibu kubwa kwa taifa letu
Lakini amegaragazwa ,asante PLO