Wabunge wamegoma kuhudhuria vikao Dodoma

Hata wangekuwepo wangelala tu!! si unajua tena magamba?
 
Duh... jamani wabunge wamesusa kuingia kwa kuwa mnawaonea gere kuwa wanapata posho kubwa ila mnasahau majukumu ya kuwahudumia ndugu zenu kule vijijini ambao amuwakumbuki kwa mahiaji muhimu...
 
Itabidi tuanze utaratibu wa kulipana kwa masaa uliyokuwa mjengoni. Ukikaa masaa mawili unapata kiasi kinacholingana na masaa yako itakomesha utoro. Huu utaratibu wa aliyeingia jioni kupata ujira sawa na aliyeingia asubuhi ndo chanzo cha yote haya.
 
mama etu mzee anaumwa kaamua kuwahi kusaini posho alafu aondoke ka wenzie hapo alikuwa bado hajasaini,
 
Mama kakomaa na posho wakati wenzie wamesaini na kusepa.
 
Hivi hata wasipohudhuria wikao wanalipwa posho? kama ndiyo kwanini kale kaandiko cha biblia kasi -aply kanakosema mtu asipofanya kazi na asile na kwenye bunge kawepo kakanuni kanakosema mbunge asipohudhuria kikao mpaka mwisho asipewe LIposho
 

Akhaaaaaaaa!!!!!!

Mimi:flypig:

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Haya yote yanafanywa at the expense of mlipa kodi kama mimi, Oh God, ifike mahali waone hata aibu.
Hivi mtu umeajiriwa, unaripoti kazini kisha unaondoka muda huohuo bila kufanya kazi, kisha unategemea kulipwa, big NO

WARNING: Dont jaribu dis kwa kanjibhahi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…