matungusha
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 594
- 126
Hata wangekuwepo wangelala tu!! si unajua tena magamba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi kama hawapo bungeni watakuwa mitaani au watakuwa wapi''nashindwa kuelewa
![]()
Anaonekana Ana Kilango peke yake, je wabunge wamefanya mgomo kuhudhuria vikao? Pesa zote wanazodai kulipwa ni kwa ajili ya nini kama hawawajibiki katika kuwawakilisha waliowachagua? Hii imetokea February 1, 2012 Dodoma kwenye kikao cha bunge kinachoendelea.
Wabunge wanakawaida ya kuingia asubuhi kuweka sahihi ya mahudhurio kisha wanasepa kwenye mambo yao. Hii picha ni katika moja ya vikao vya siku hiyo sehemu hiyo anaonekana huyu mama peke yake. Labda unajenga utetezi wako huenda we ni mmojawapo wa wabunge walioacha kiti wazi katika kkao hicho.
wapo ktk mishe mishe na michongo huku dar.hivi kama hawapo bungeni watakuwa mitaani au watakuwa wapi''nashindwa kuelewa
hata wangekuwepo wangelala tu!! Si unajua tena magamba?