Wabunge wamelipwa Posho Kujadili Bajeti halafu Finance Bill inakataliwa, Kwa Katiba ya Tanzania Bunge lingevunjwa!

Wabunge wamelipwa Posho Kujadili Bajeti halafu Finance Bill inakataliwa, Kwa Katiba ya Tanzania Bunge lingevunjwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Huo ndio ukweli mchungu

Hata yaliyotokea Kenya Finance Bill kukataliwa ingekuwa ni Tanzania Rais angevunja Bunge

Lakini Kenya Gachagua anataka Mkurugenzi wa Intelligence Nurdin Haji ndio ajiuzulu

Kila Katiba ina Uzuri na Ubaya wake

Mlale Unono 😃😃
 
Kwa katiba ya mwaka gani?

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Ndio katiba ya tatu kwa ubora ikizidiwa na South Africa na Ghana.
Na wewe Kwa akili zako za kuku unaona hizo Katiba ni Bora? Ubora wake ni upi ikiwa kwenye hizo Nchi usalama ni mdogo,njaa,Madeni, mfumuko wa bei,maisha magumu na upuuzi kama huo? Vyote hivyo havipo Tanzania.

Msipende kuwa wajinga Kwa Kufuata standards za Ulaya,hazifanyi kazi Afrika
 
Hapana, Bunge lisingevunjwa isipokuwa mswada ungerudishwa Tena Bungeni kwa ajili ya maboresho, ilitokea ukapingwa Tena ndipo sasa RAIS atakuwa na mamlaka ya kulivunja Bunge Tukufu.
 
Ndio katiba ya tatu kwa ubora ikizidiwa na South Africa na Ghana.
Ni bora Yao ambayo Wanaweza Waka reverse vitu, sisi yetu pamoja na hayo hakuna siku hata Moja bill yeyote imekwama kisa wananchi. So watu hawaogopi raia kwakua they have nothing in their power waseme au wasiseme it's the same, wanasubiri huruma za wafanya maamuzi
 
Huo ndio ukweli mchungu

Hata yaliyotokea Kenya Finance Bill kukataliwa ingekuwa ni Tanzania Rais angevunja Bunge

Lakini Kenya Gachagua anataka Mkurugenzi wa Intelligence Nurdin Haji ndio ajiuzulu

Kila Katiba ina Uzuri na Ubaya wake

Mlale Unono 😃😃
Posho na rushwa ya mil 41
 
Huo ndio ukweli mchungu

Hata yaliyotokea Kenya Finance Bill kukataliwa ingekuwa ni Tanzania Rais angevunja Bunge

Lakini Kenya Gachagua anataka Mkurugenzi wa Intelligence Nurdin Haji ndio ajiuzulu

Kila Katiba ina Uzuri na Ubaya wake

Mlale Unono 😃😃
EEEeeeenHEEEeeeeHeeee!

Akili yako huwa inafanya kazi kipekee sana! HEEHEEEeeeNhEEEE!

Sasa tusemeje, maana imejidhihirisha yenyewe kuwa ya kipekee mara kwa mara hata katika mambo ambayo haina uwezo nayo, lakini inatoka na hitimisho la kushangaza watu!

Ulileta tuchangie, tutachangia hivyo hivyo kihayawani.
 
Huo ndio ukweli mchungu

Hata yaliyotokea Kenya Finance Bill kukataliwa ingekuwa ni Tanzania Rais angevunja Bunge

Lakini Kenya Gachagua anataka Mkurugenzi wa Intelligence Nurdin Haji ndio ajiuzulu

Kila Katiba ina Uzuri na Ubaya wake

Mlale Unono 😃😃
Wakati mwalimu wa civics anafundisha ulikua na kazi ya kurushia wenzio vimbegu vya ubuyu eeeh......mswada ukirudishwa bunge linavunjwaje sasa.
 
Back
Top Bottom