ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Zote Katiba ya Sasa inazimudu vyema kabisa.Natumaini ulisoma hizo points nilizotaja apo juu .
Hao wanakouana na Katiba Mpya ndio unazitaka? Kwmaba ndio Haki unazihitaji au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zote Katiba ya Sasa inazimudu vyema kabisa.Natumaini ulisoma hizo points nilizotaja apo juu .
Rejea kifungu cha 46( 3) kuhusu kinga ya raisi baada ya kustaafu.Zote Katiba ya Sasa inazimudu vyema kabisa.
Hao wanakouana na Katiba Mpya ndio unazitaka? Kwmaba ndio Haki unazihitaji au?
Kwani unadhani nimeanza kukusoma na kukujibu leo? Historia ya ubwege wako imejaa tele humu JF.Mimi sio wa kupotezea mda Kwa watu wasio jitambua kama wewe
Yaani ni katiba ya Kijinga kwelikweli.....Kenya ni Moja ya Nchi yenye Katiba ya kipumbavu sana
Mimi ni kiboko ya nyie punguani wapotoshajiKwani unadhani nimeanza kukusoma na kukujibu leo? Historia ya ubwege wako imejaa tele humu JF.
Chizi yeyote anaweza kujitangazia sifa hiyo, wewe huna tofauti na hao vichaa wengine.Mimi ni kiboko ya nyie punguani wapotoshaji
UmeishiwaChizi yeyote anaweza kujitangazia sifa hiyo, wewe huna tofauti na hao vichaa wengine.
Kila mara unaelezwa ukweli, lakini hali yako ya hitilafu uliyonayo kichwani haikuruhusu kujitambua tatizo lako.Umeishiwa