johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kenya ni Moja ya Nchi yenye Katiba ya kipumbavu sanaHuo ndio ukweli mchungu
Hata yaliyotokea Kenya Finance Bill kukataliwa ingekuwa ni Tanzania Rais angevunja Bunge
Lakini Kenya Gachagua anataka Mkurugenzi wa Intelligence Nurdin Haji ndio ajiuzulu
Kila Katiba ina Uzuri na Ubaya wake
Mlale Unono ππ
Kupakatwa tenaπ€£π€£π€£π€£π€£Ila mwanangu kuna muda unakuwa kama vile umepakatwa unauugulia.
Umezoea kupakatwa?Ila mwanangu kuna muda unakuwa kama vile umepakatwa unauugulia.
Chadema hao Bwashee Wazee wa faragha πΌKupakatwa tenaπ€£π€£π€£π€£π€£
Acha ujinga, kwamba Muda huu jamaa niajeIla mwanangu kuna muda unakuwa kama vile umepakatwa unauugulia.
Ndio katiba ya tatu kwa ubora ikizidiwa na South Africa na Ghana.Kenya ni Moja ya Nchi yenye Katiba ya kipumbavu sana
Na wewe Kwa akili zako za kuku unaona hizo Katiba ni Bora? Ubora wake ni upi ikiwa kwenye hizo Nchi usalama ni mdogo,njaa,Madeni, mfumuko wa bei,maisha magumu na upuuzi kama huo? Vyote hivyo havipo Tanzania.Ndio katiba ya tatu kwa ubora ikizidiwa na South Africa na Ghana.
neno ''bunge tukufu'' la Tz hili; nikisikia inakhera masikioni kwanguHapana, Bunge lisingevunjwa isipokuwa mswada ungerudishwa Tena Bungeni kwa ajili ya maboresho, ilitokea ukapingwa Tena ndipo sasa RAIS atakuwa na mamlaka ya kulivunja Bunge Tukufu.
Fafanua..Kenya ni Moja ya Nchi yenye Katiba ya kipumbavu sana
Ni bora Yao ambayo Wanaweza Waka reverse vitu, sisi yetu pamoja na hayo hakuna siku hata Moja bill yeyote imekwama kisa wananchi. So watu hawaogopi raia kwakua they have nothing in their power waseme au wasiseme it's the same, wanasubiri huruma za wafanya maamuziNdio katiba ya tatu kwa ubora ikizidiwa na South Africa na Ghana.
Ondoa neno la mwishoHapana, Bunge lisingevunjwa isipokuwa mswada ungerudishwa Tena Bungeni kwa ajili ya maboresho, ilitokea ukapingwa Tena ndipo sasa RAIS atakuwa na mamlaka ya kulivunja Bunge Tukufu.
Posho na rushwa ya mil 41Huo ndio ukweli mchungu
Hata yaliyotokea Kenya Finance Bill kukataliwa ingekuwa ni Tanzania Rais angevunja Bunge
Lakini Kenya Gachagua anataka Mkurugenzi wa Intelligence Nurdin Haji ndio ajiuzulu
Kila Katiba ina Uzuri na Ubaya wake
Mlale Unono ππ
Huyo ni CCM mwenzako yaelekea mnajuana asingeropoka ovyo utakuwa kweli una katabia hako kachafu.Chadema hao Bwashee Wazee wa faragha πΌ
EEEeeeenHEEEeeeeHeeee!Huo ndio ukweli mchungu
Hata yaliyotokea Kenya Finance Bill kukataliwa ingekuwa ni Tanzania Rais angevunja Bunge
Lakini Kenya Gachagua anataka Mkurugenzi wa Intelligence Nurdin Haji ndio ajiuzulu
Kila Katiba ina Uzuri na Ubaya wake
Mlale Unono ππ
Mimi nimekuelewa.Huyo ni CCM mwenzako yaelekea mnajuana asingeropoka ovyo utakuwa kweli una katabia hako kachafu.
Wakati mwalimu wa civics anafundisha ulikua na kazi ya kurushia wenzio vimbegu vya ubuyu eeeh......mswada ukirudishwa bunge linavunjwaje sasa.Huo ndio ukweli mchungu