Wabunge Wamesahau Kazi za Muhimili Wao, Wamebaki Kusifia Muhimili Mwingine

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,818
Reaction score
7,940
Namkumbuka Mwalimu wangu wa Somo la Uraia (Civics) mpaka pengine nawaza uenda hawa wabunge wetu hawakusoma somo hili la lazima na la muhimu sana kwenye mitaala ya Elimu.

Wabunge wengi ni kama wamesahau kwamba wao wako Bungeni kutetea Raia wao na kuwasemea matatizo yao hili Mahakama na Serikali ziweze kufanya kazi kuwanufahisha Raia. Lakini wabunge wengi badala ya kwenda bungeni kuwawakilisha Raia wamegeuka kuwa wawakilishi wa serikali na wasemaji wa serikali.

Uongozi wa Nchi umeundwa na Mihimili mitatu;
1: Serikali (Serikali Kuu na Serikali za Mitaa au Vijiji)
2: Bunge
3: Mahakama

Na kila muhimili unajitegemea kivyake, huku kiongozi wa Serikali akiwa Rais ambaye ndio ana mamlaka ya Nchi nzima, Bunge likiwa na wabunge na kuongozwa na Spika wa bunge akiwa kama mkuu wa wabunge wote, na Mahakama ikiwa na Jaji Mkuu.

Kazi Kuu ya Wabunge ni kuwasilisha hoja za wananchi bungeni ambapo ndiko kuna wawakilishi wa serikali kuu ambao ni mawaziri usikiliza hoja hizo na kwenda kuzifanyia kazi kwa kushirikiana na Rais aliyewateua.

Lakini hivi karibuni baada ya Bunge kujaa wabunge wa chama kimoja imekuwa ndivyo sivyo na badala yake wabunge wengi wanaonekana kuitetea serikali badala ya kuiwajibisha, wamesaliti hile kazi waliyopewa na wapiga kura wao kwenda kuwa wawakilishi wao badala yake wamekuwa wasemaji wa serikali.

Ni kosa sana kwa Mwananchi kuchagua mbunge kwa kuangalia chama, badala ya kuangalia weledi wa bunge kuwasilisha hoja za wananchi, vyama vingine vina watu wenye uwezo mkubwa wa kuwasilisha hoja za wananchi lakini kwa sababu ya Tamaa za muda mfupi kuhongwa kofia, kanga, mchele na mafuta ya pikipiki kwa ndugu zetu bodaboda tunajikuta tunamchagua mbunge ambaye hawezi kwenda kuzungumzia hoja zetu kazi yake inakuwa ni kutafuta teuzi za uwaziri na kadharika kwa Rais kwa kupiga mapambio serikali ambayo alitumwa akaiwajibishe.

Mimi kama mwananchi nawasihi wananchi wenzangu, tuchague kiongozi kwa uwezo alionao na sio chama alichotoka. Kupewa Rushwa hili ukampigie kiongozi kura ndio kuna sababisha wabunge wengi kwenda kulala na kupiga mapambio bungeni mwisho Nchi inarudi nyuma kwa sababu Nchi haina sera za maana.

Leo hii watu wanatekwa hila wabunge hawazungumzii hili jambo, wengine wakiulizwa wanasema watu wanajiteka, wengine wakiwaita kenge watu wanaojaribu kuiwajibisha serikali kwa matukio ya utekaji.

Chagua kiongozi bora na sio bora kiongozi...

Kiongozi bora anaweza kutoka chama chochote, msivivunje moyo vyama vingine
 
Wanasifia muhimili mwingine maana ndio unaamua mbuge Gani akae wap Kwa wkt gan na c kura za wananchi ndio maana wabunge wamegeuka zao Chawa wa muhimili huo 😔😔😔
 
Wanawaita wapiga kura kenge na bado chawa wanakenua!
 
Unawaonea tu wabunge kwani wanafanya kazi Yao vizuri tu ya kuwakilisha aliwachagua? Je unamjua aliwachagua?
 
MBUNGE MMOJA TOKA NCHI JIRANI AMESEMA HIVI:

"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi cha kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?

Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?

Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!

Kutoka kwa Malisa GJ
 
Wabunge wa special seat aseee % kubwa n vilaza sinui kwakua wameupata kwa kuteuliwa tu hawajatia pesa na ushndan majimboni wengi wanakaaga kimya wakiongeaga ni ujinga alaf still wanaclaim 5 years ni ndogo kwa special seat wakati aim ni kupata experience then waende majimboni wakapigane huko…sas kama yule aliesema wale walioachiliwa mpakani walitakiwa warudi nchi zao na oxygen sijui alifikiri kabla ya kuongea busara zero pale hakufikiri madhara ya kauli zake sasa akienda jimboni nani atampa kura yule…Na sheria ibadilishwe tu isiwe kigezo kusoma na kuandika.
 
MBUNGE MMOJA TOKA NCHI JIRANI AMESEMA HIVI:

"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi cha kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?

Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?

Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!

Kutoka kwa Malisa GJ
Mimi sio mtu wakuchimba sana na siasa ila nashangaaga CAG kuitwa ajieleze bungeni kisa kutoa hati chafu ama utata wakauli wakati wanatakiwa kujua kweny kazi ya CAG kunakujaga hadi makampuni makubwa ya Audit kutoka nje ya nchi sas kuna madudu yaliozidi huwezi kuyaficha ila wabunge wao wanaonaga sijui ni CAG kaamua mwenyewe tu. Shule na uelewa wabunge wengi ni wa juu juu yaan ubunge ndo kazi pekee haina experince kuipata yaan ilibidi kuwa mbunge lazima uanze kuwa mwenyekiti ama diwani mitaani huko uje ata na akili timamu kidogo.
 
Samwel sita na Anne Makinda ndiyo ma Spika wa bunge waliowahi kutokea tanzania, hata hamu ya kuangalia bunge ilikuwepo
 
Back
Top Bottom