Wabunge wampongeza Waziri Mkuu

Wabunge wampongeza Waziri Mkuu

IamBrianLeeSnr

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
2,010
Reaction score
4,179
298804D6-7D96-4E83-BC4E-FB2830CDA25E.png

Viongozi mbalimbali wakimpongeza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa Fedha 2023/24 kupitshwa na Bunge.
 
Mungu amlinde mja wake huyu, hana makuu na yeye ni kazi na kazi ni yeye. Wasiomtakia mema wanateseka sana juu yake na wanateswa na uchapakazi wake.

Kama aliweza kufanya kazi na Hayati Magufuli kama waziri mkuu na mpaka Hayati Magufuli kumsifia Mara nyingi kwa uchapakazi basi Mimi ni nani mpaka nipingane na Hayati Magufuli.
 
Ni kweli kabisa!! Japo wahuni hawapendi kusikia sifa hizi
 
Ni kweli kabisa!! Japo wahuni wa Taifa hawapendi kusikia sifa hizi
 
Anapongezwa kwa kuruhu wizi serikalini
Liruhusu wizi ana mamlaka gani yaani msimamizi (supervisor) ana nguvu kuliko mkurugenzi mkuu wa kampuni (CEO)?
Acha utani, waziri mkuu pamoja na juhudi za kukemea na kusimamika zi wabadhirifu unasema aliruhusu wizi wakati wanaosimamishwa wanateuliwa na kupewa mikataba ya ajira na mkurugenzi mkuu wa kampuni ambaye ndiye mwenye mamlaka ya kuajiri na kufukuza (Hire & Fire)?

Mwacheni Mwalimu Kassimu Majaliwa Majaliwa ninyi wezi ndio mnampiga vita sana
 
We zwazwa soma katiba ya nchi
 
Back
Top Bottom