Wabunge wamuunga mkono Dudu baya na chunga mgongo wako, Je watafukuzwa ubunge?

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,265
Reaction score
98,318
Kufuatia mwana mziki wa Bongo fleva Dudubaya kuibuka na juhudi zake za kupinga ushogq nchini.

Juzi tulishuhudia Basara wakimfungia bwana Dudubaya kufanya shughuli zake Na kupiga faini ya sh 3,000,000.

Kisa kuwapiga marungu wale wasiyo linda migongo yao.

Leo hii wabunge wamejitikeza kumuunga mkono Dudubaya kwa kuahidi kumlipia faini ya 3m.

wakati kafungiwa na moja ya idraa ya serikali,Je watafukuzwa UBUNGE?
 
View attachment 3678373
Kuadhibiwa kwa Dudubaya ni mfano hai wa jinsi jumuia ya mashoga ilivyo na nguvu siyo za kifedha tu bali za kimamlaka pia.
 
Kwahiyo kama sirikali tumeamua Konki atozwe 3,000,000 Tsh 🤭 kama fidia.!

Wasanii wa TZ Ifike pahala waone we huruma tu njaa mbaya zaidi ya sana
 
Back
Top Bottom