TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Aiseee, enzi za Mwendazake mbona hawakudai?
Yaani waongezwe mishahara kwakua Jimboni wanapigwa mizinga sana?
"Mimi naona Bora kujenga barabara kuliko kuongeza mishahara"- JPM akihotubia watumishi Mei mosi flani huko Nyanda za juu kusini.
Mi naona wabunge wawe wanapokea mishahara sawa na waalimu! Na posho ya vikao wasipate maana ndiyo kazi waliyoajiriwa kuifanya! Bungeni ndiyo ofisini kwao! Si sawa mtu kulipwa posho kwa kukaa ofisini kwake na kufanya kazi!! Wakishindwa waache!12m Vs 0.025m salalies, wa 12m anadai ajiongezee bungeni, mwalimu wa 0.025m tsh kwa mwezi hata pakusemea tu hana wala malupulupu hana.
kweli kuishi kwingi kuona
Tuwe na busara.Habari wadau.
Naona kuna vugu vugu sasa wabunge kutaka kuongezewa mshahara maana hauwatoshi,binafsi nadhani wana hoja ya msingi ni vyema wakasikilizwa.
Wengi tulikuwa tunajua wabunge wanalipwa pesa nyingi sana kutokana na kazi kubwa wanazozifanya lakini nilipofuatilia kiasi anacholipwa mbunge ni kiduchu sana almost 12M pm ni ndogo sana,na bado wakifika majimboni tunawapiga vizinga mpaka inaboa.
Kama wapo wanaosikilizwa kupanda madaraja basi na wabunge tunaomba pia wasikilizwe kama bajeti inaruhusu waongezewe mishahara kazi yao ya uwakilishi majimboni ni ngumu sana.
Ni mwalimu gani analipwa 25,000 ndugu? 🤔12m Vs 0.025m salalies, wa 12m anadai ajiongezee bungeni, mwalimu wa 0.025m tsh kwa mwezi hata pakusemea tu hana wala malupulupu hana.
kweli kuishi kwingi kuona mengi.
Mtoa mada nafikiri Ushaona kwamba watu wengi bado wanamentality ya unyonge "aliye namshahara mkubwa apunguziwe au hana haki ya kudai kuongezwa mshahara, ila walio chini Wana haki ya kudai"Habari wadau,
Naona kuna vugu vugu sasa wabunge kutaka kuongezewa mshahara maana hauwatoshi, binafsi nadhani wana hoja ya msingi ni vyema wakasikilizwa.
Wengi tulikuwa tunajua wabunge wanalipwa pesa nyingi sana kutokana na kazi kubwa wanazozifanya lakini nilipofuatilia kiasi anacholipwa mbunge ni kiduchu sana almost 12M pm ni ndogo sana,na bado wakifika majimboni tunawapiga vizinga mpaka inaboa.
Kama wapo wanaosikilizwa kupanda madaraja basi na wabunge tunaomba pia wasikilizwe kama bajeti inaruhusu waongezewe mishahara kazi yao ya uwakilishi majimboni ni ngumu sana.
hoja nyingine za kipuuzi kama 12m hazitoshi jea Graduate anayelipwa 750,000.00 na yule wa kima cha chini 170,000.00 atasemaje? mbunge huyo huyo analipwa posho 300,000.00 kwa siku, analipwa mafuta ya gari na mshahara wa dereva. wewe utakua ni mbunge au mkeo mbunge sio bureHabari wadau,
Naona kuna vugu vugu sasa wabunge kutaka kuongezewa mshahara maana hauwatoshi, binafsi nadhani wana hoja ya msingi ni vyema wakasikilizwa.
Wengi tulikuwa tunajua wabunge wanalipwa pesa nyingi sana kutokana na kazi kubwa wanazozifanya lakini nilipofuatilia kiasi anacholipwa mbunge ni kiduchu sana almost 12M pm ni ndogo sana,na bado wakifika majimboni tunawapiga vizinga mpaka inaboa.
Kama wapo wanaosikilizwa kupanda madaraja basi na wabunge tunaomba pia wasikilizwe kama bajeti inaruhusu waongezewe mishahara kazi yao ya uwakilishi majimboni ni ngumu sana.
Habari wadau,